Kama Uchawi Ndio Huu, Basi Wanaume Wengi Tumelogwa..!!

Kwa kuwaza hivyo tu ushajiroga mwenyewe, mchwawi anakuja kuweka nukta tu.
 
Kama huko ni kurogwa basi hata mama ako nae alimroga baba ako, so na wewe hudumia ukipata binti nae ataroga, maisha yaendelee.
 
Wanaume wengine wabishi eti hakuna uchawi,
hebu chukua karatasi jumlisha fedha zote
ulizotumia kwa michepuko, halafu jumlisha hela
ulizompelekea mama yako mzazi, linganisha,
huoni kuwa ulilogwa wewe?
ulitaka ugegede bure,au mama yako atakupa utamu,starehe gharama mkuu bila kuhonga mademu utaishia kuwaita shemeji tu,wacha tuhonge maisha yenyewe mafupi
 
Uzuri mimi sikumbuki nimehonga shilingi ngapi kwahiyo sijarogwa.
 
Kama huko ni kurogwa basi hata mama ako nae alimroga baba ako, so na wewe hudumia ukipata binti nae ataroga, maisha yaendelee.
Matumizi yawe sawia...
 
Kwa kuwaza hivyo tu ushajiroga mwenyewe, mchwawi anakuja kuweka nukta tu.

25066.jpg

Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha.....
 
Wanaume wengine wabishi eti hakuna uchawi,
hebu chukua karatasi jumlisha fedha zote
ulizotumia kwa michepuko, halafu jumlisha hela
ulizompelekea mama yako mzazi, linganisha,
huoni kuwa ulilogwa wewe?
mwanaume kugharamia eti
khaaa hamna cha bure
 
Back
Top Bottom