Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulitaka ugegede bure,au mama yako atakupa utamu,starehe gharama mkuu bila kuhonga mademu utaishia kuwaita shemeji tu,wacha tuhonge maisha yenyewe mafupiWanaume wengine wabishi eti hakuna uchawi,
hebu chukua karatasi jumlisha fedha zote
ulizotumia kwa michepuko, halafu jumlisha hela
ulizompelekea mama yako mzazi, linganisha,
huoni kuwa ulilogwa wewe?
Kwa kuwaza hivyo tu ushajiroga mwenyewe, mchwawi anakuja kuweka nukta tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaaaaah..... Watu bhanah![]()
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha.....
Kuna watu vichaa kweli [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaaaaah..... Watu bhanah
mwanaume kugharamia etiWanaume wengine wabishi eti hakuna uchawi,
hebu chukua karatasi jumlisha fedha zote
ulizotumia kwa michepuko, halafu jumlisha hela
ulizompelekea mama yako mzazi, linganisha,
huoni kuwa ulilogwa wewe?