Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 1,915
- 5,750
Mwenyeji wa Galilaya!MKOPE NDUGAI .... /
ova
Kuandikishana siyo tatizo weka mpango wa biashara hapaYani tunaandikishana kabisa mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]MKOPE NDUGAI .... /
ova
Cheki na ndugaiNatafuta mtu ambae yupo Dodoma, nina biashara atoe laki 6 halafu kila siku atakuwa anapata faida ya 10000, kama upo tayari na una huo mtaji tafadhari tuwasiliane tufanye biashara.
0621604087
Jerusalem ,Bethlehem, Nazareth na vitongoji vyake [emoji1787][emoji1787]Mwenyeji wa Galilaya!
Hahah!!!eti good morning....natabiria kuwa walikuwa ni forever living..yaana wanahamasisha uongee english hata kama hujuii...ila sehem walikuwa wananipa raha ni zile semina zao ambapo mseminishaji kakanyaga na kiatu mpk kimelalia upande mmoja ila ushuhuda anaoutoa ni wa mtu anaemiliki miroshen kadhaa...nliona tu huku ni kupigwa nikaamua kuwachana ukwel na kuondokaHiyo biashara ya mtandao sijui jina ila kuna mtu alinidokezea nijiunge chini yake kwa 600k afu kila siku napata 10 kitu kama hicho kwa miezi 6 hivyo nakuwa nimeingiza kama milioni na nusu hivi, (
mambo ya good morning hata kama ni mchana)
Hii quote imeniokoa sana aisee.. Naomba endelea kuikumbusha.Ukiitwa kwenye fursa tambua we ndo fursa😂😂😂😂Dodoma fanyeni haraka
Hahahahaha 🤣🤣Yani nikupe 600,000/= unipe elfu kumi kwa siku nne halafu mtandao uanze kugoma Mara hatusikilizani Mara network inasumbua nyoooo
Akifanikiwa mtu, ndo zile kauli uibuka yule hela zake freemason, ahaha"When the deal is too sweet, think twice"
Laki sita ipo tena nakurushia kwa mpesa kama utanionyesha vitambulisho vyako... Lakini nipe mpango na mchanganuo wa biashara yako niitathmini kwanza .Natafuta mtu ambae yupo Dodoma, nina biashara atoe laki 6 halafu kila siku atakuwa anapata faida ya 10000, kama upo tayari na una huo mtaji tafadhari tuwasiliane tufanye biashara.
0621604087
Natafuta mtu ambae yupo Dodoma, nina biashara atoe laki 6 halafu kila siku atakuwa anapata faida ya 10000, kama upo tayari na una huo mtaji tafadhari tuwasiliane tufanye biashara.
0621604087