Kama uko nje ya mji, eneo ambalo mji unajengeka, Fanya biashara ya kukodisha mbao

aise

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Posts
8,724
Reaction score
24,474
Fanya biashara ya kukodisha mbao za linta,
Majukwaa Kwa ajili ya kujengea,
Fox,
Mapipa ya kuwekea maji
Kodisha mpaka machepe, Suluku, majembe nk

Changamoto yake kubwa utakayoipata ni mafundi kukata mbao ndefu.
Kuitatua hiyo changamoto nenda saiti fundi apime vipande vyote anavyohitaji nenda ofisini kwako kamletee.
🙏
 
sawa
 
Ni nzuri hii,Kuna jamaa kitaa huwa anakula kiulaini sana.
 
Back
Top Bottom