Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malalamiko yamekua mengi, tushirikiane kutakua hili tatizo.
Duuuh mkuu umenichekesha kweli kweliMalalamiko yamekua mengi, tushirikiane kutakua hili tatizo.
Niongeze tuwe triple kabisa[emoji39][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23]tulio pote pote? Single with double?
Na picha zetu tutaziweka humu?? 😂😂😂Niongeze tuwe triple kabisa[emoji39][emoji39]
Shda sio mwonekano ni Tabia....na upande wa wanaume ni ukosefu wa HelaMalalamiko yamekua mengi, tushirikiane kutakua hili tatizo.
Aaah wapiii, picha kwenye huo utamu zitatoka wapi? Huo muda wanao wasio na nguvu za kiume tuu.Na picha zetu tutaziweka humu?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja waje walioko single,Aaah wapiii, picha kwenye huo utamu zitatoka wapi? Huo muda wanao wasio na nguvu za kiume tuu.
Anhaa, kumbe ww wataka picha?Ngoja waje walioko single,