Kizibo
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 4,617
- 10,524
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, Kama ule mpira waliocheza Simba siku ya tamasha lao ndo mpira wao kwa msimu huu, naomba kesho tufungwe ili kocha Fadlu afukuzwe mapema.
Timu haieleweki inacheza vitu gani, Hadi unajiulza, "Sasa huko pre season walienda kufanya Nini?? Mazoezini wanafannya Nini?? Kocha kweli anaona makosa ya wachezaji wake na anaongea nao huko mazoezini kuyarekebisha??
Kwa mfano, wchezaji Kama Kibu na Mpanzu wanakaa na mpira muda mrefu mpaka wananyang'anywa mpira unapotea. Unakuta wenzao wameshafungua space wapewe lakini hawapewi pass.
Jambo lingine, wachezaji kuwa slow sana hivyo kupelekea timu kucheza slow mno. Wachezaji Kama Hamza na Ahoua wanazingua sana.
Jambo la tatu na ambalo ndio janga na linakera sana, timu kucheza kwa kurudisha mpira nyuma. Sasa wewe mpira muda wote wanacheza mabeki na kipa, muda wote unacheza kwa kurudisha mpira nyuma (unajishambulia), utafunga saw ngapi?? Mpira ukisogea Hadi kwa viungo unarudi nyuma kwa walinzi, kisha kwa golikipa, mwishowe walinzi wanafanya makosa tunafungwa.
Jambo la nne, wachezaji kutokuwa na mawasiliano mazuri wawapo uwanjani. Unakuta mchezaji akiwa na mpira hasomi movements za wenzake. Unakuta mchezaji anapokea mpira, Kisha anatoa pass eneo ambalo mhusika hayupo au hajafika. Kwa mfano, kiungo anatoa pass kwa mfungaj, kumbe mfungaji muda huo hayuko eneo Hilo. Au kiungo anatoa pass kwa winga kumbe muda huo winga Hugo hajafika eneo Hilo. Hili tatizo linapelekea timu kupoteza mipira Mara nyingi kwa adui au mipira inatoka nje wananufaika wapinzani (goal kick/throw in)
Jambo la tano, wachezaji kuzubaa unawanjani utadhani wapo peke yao. Unakuta mchezaji anapokea Mpira, badala a-scan mazingira yanayomzunguka, anazubaa na mpira wee mpaka mpinzani anamkuta nao pale pale ananyang'anywa akiwa anaranda randa na mpira pale pale. Hilo tatizo analo Ahou na alikuwa nalo Debora.
Hayo makosa kocha ameishi nayo msimu mzima, inamaana alikuwa hayaoni?? Kama alikiwa anayaona alikuwa anayarekebisha huko mazoezini?? Kama alikuwa anayarekebisha, kwanini yaliendelea kuwepo msimu mzima?? Na kwanini Hadi msimu huu yameonekana Tena mechi ya juzi kwenye tamasha??
Kwa sababu hizo, NAOMBA KESHO TUFUNGWE ILI KOCHA AFUKUZWE, ANATIA HASIRA SANA NA PIRA LAKE LA PAPATU PAPATU