Kama ulikua unaenda siku 28 za mizunguko wa hedhi halafu hujaona siku zako hadi siku 30 unaweza kupata mimba?

biancaabdu

New Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
2
Reaction score
1
Habari Naomba kuliza,

Kama ulikua unaenda siku 28 za mizunguko wa hedhi halafu hujaona siku zako hadi siku 30 unaweza kupata mimba?
 
Umekusudia unaweza kuwa na mimba? Au mimi nimefahamu vibaya?
Yan nilikua nataka kujua km mtu naweza kua na mimba coz nilikua naenda cku 28 but now ni cku ya 31 cjaona cku zngu lkn cna dalili yyte ya kuonesha ni mjamzito
 
Dah mimi nahitaji nipate mtoto wa pili, ila wife tarehe zake zinachanganya mno mara 25, mara 17 mara 15. 😭 Ushauri wenu wadau.
 
Yan nilikua nataka kujua km mtu naweza kua na mimba coz nilikua naenda cku 28 but now ni cku ya 31 cjaona cku zngu lkn cna dalili yyte ya kuonesha ni mjamzito
Nenda pharmacy nunua pregnant test utapata jibu lako.
 
Mabinti wanaogopa mimba kuliko ukimwi
Ccm ndio imetufikisha hapa
 
Back
Top Bottom