Kama ulikuwa huijui Yanga SC ya GSM, La Liga, Sevilla na Mshindo Msolla basi ni hii

Mzukulu

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2020
Posts
1,401
Reaction score
2,641
1. Timu inasafiri na Basi bovu kabisa ambalo wamepata nalo Breakdown mara mbili na kama si Umahiri wa Dereva wangekufa.
2. Bumbuli ni Msemaji wa Yanga SC na Nugaz ni Msemaji wa Yanga GSM Sports Club.
3. Kiungo Mshambuliaji Bernard Morissson Kagoma Kusafiri na Timu kwakuwa haipandi Ndege na Yeye Basi hajalizoea.
4. Mwenyekiti Msolla na Makamu wake Mwakalebela wanapishana na hawapatani kama Israel na Palestine.
5. Mshambuliaji David Molinga ni zaidi ya Kocha Msaidizi wa Yanga SC Charles Boniface Mkwasa.
6. Mhamasishaji Nugaz na Msemaji Bumbuli sasa si tu kuwa wana Bifu bali wameanza hata Kuhujumiana na Kusalitiana Kiutendaji.
7. Ndani ya Wachezaji wa Yanga SC tayari kuna Mpasuko mkubwa kwani kuna ambao Wanatengwa na Wanaonyenyekewa.

Upuuzi huu Kamwe hutokaa kuja ama Kuukuta au Kuusikia abadan kwa Timu iliyobarikiwa sana / mno na Mwenyezi Mungu ya Simba Sports Club.
 
Utupolo fc
IMG-20200612-WA0003.jpg
 
8. Mleta uzi ni mbumbumbu
 
Cc Shadeeya
 
Jana mazoezini lamine moro kasema hayuko tayari kucheza kwasababu wachezaji wanaosaidia timu hawathaminiwi ,wachezaji wenye mchango mdogo ndo wanathaminiwa,amelalamika kwamba wao wameenda na basi ila Molinga aligoma baadaye anakuja na benchi la ufundi kwa ndege
1. Timu inasafiri na Basi bovu kabisa ambalo wamepata nalo Breakdown mara mbili na kama si Umahiri wa Dereva wangekufa.
2. Bumbuli ni Msemaji wa Yanga SC na Nugaz ni Msemaji wa Yanga GSM Sports Club.
3. Kiungo Mshambuliaji Bernard Morissson Kagoma Kusafiri na Timu kwakuwa haipandi Ndege na Yeye Basi hajalizoea.
4. Mwenyekiti Msolla na Makamu wake Mwakalebela wanapishana na hawapatani kama Israel na Palestine.
5. Mshambuliaji David Molinga ni zaidi ya Kocha Msaidizi wa Yanga SC Charles Boniface Mkwasa.
6. Mhamasishaji Nugaz na Msemaji Bumbuli sasa si tu kuwa wana Bifu bali wameanza hata Kuhujumiana na Kusalitiana Kiutendaji.
7. Ndani ya Wachezaji wa Yanga SC tayari kuna Mpasuko mkubwa kwani kuna ambao Wanatengwa na Wanaonyenyekewa.

Upuuzi huu Kamwe hutokaa kuja ama Kuukuta au Kuusikia abadan kwa Timu iliyobarikiwa sana / mno na Mwenyezi Mungu ya Simba Sports Club.
 
Huyu Dauda tangu akamatwe akiuza jezi feki za Yanga amekuwa boya kweli

Ulikuwa wapi kuyasema au kutuambia haya mapema hadi umesubiri leo kawapeni Makavu ambayo mlitakiwa muyatafakari ili mtoke huko kubaya?
 
Back
Top Bottom