Kama ulikuwa hujui, hawa ndio watu watatu wasiodanganya

Weuwee kuna walevi wana akili zao hata akilewa anajielewa, watoto wa siku hizi waongo balaa.
Huyo ni mnywaji, mlevi sikuzote anaropoka vitu vilivyopo kwenye folder la siri,
yani mtu akishalewa anashindwa kutofautisha Siri na bayana
 
Avatar yako balaa
hata mm kwa mbali niliiogopa ile Avatar ola kwa kuzoom ni ya kawaida
pale mwanamke anapokaribia kileleni ni FAKE tupu
sema anapokaribia kujifungua, hua anatajwa mhusika mwenye mzigo ndio maana kuna mama wanaoNASABA naye wanakuwepo karibu (si mamamkwe au mawifi)
 
Huyu jamaa anapenda sana JF nadhani siku akipigwa ban hata ya dakika 5 anaweza fuata nyayo za wajomba zake wahehe mara moja.
 
Sasa ukiona hivi ujue kuna mtu kamdanganya [emoji23][emoji23]
 
Kutokana na post yako nimepata jibu nililokuwa nalitafuta asante mkuu STUNTER
 
Hivi Stunter utaacha lini haya?
 
Kutokana na post yako nimepata jibu nililokuwa nalitafuta asante mkuu STUNTER
Chonde chonde usije ukaenda kumdhuru mtu kwa kumpiga na kitu kizito kichwani au kumchoma na kitu chenye ncha kali...
 
Aisee, ndomana wazungu wanaenda leba na wake zao?? Duuuh
 
Huyu jamaa anapenda sana JF nadhani siku akipigwa ban hata ya dakika 5 anaweza fuata nyayo za wajomba zake wahehe mara moja.
Hahaha... Mbona Ban nilishapigwa sana tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…