Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni mnywaji, mlevi sikuzote anaropoka vitu vilivyopo kwenye folder la siri,Weuwee kuna walevi wana akili zao hata akilewa anajielewa, watoto wa siku hizi waongo balaa.
hata mm kwa mbali niliiogopa ile AvatarAvatar yako balaa
Mkuu....mie nalidhani Kiziwi,Kipofu,na Bubu....
Hivi Stunter utaacha lini haya?Kuna mwanafalsafa mmoja alisema Popote ilipo pombe ndipo ukweli ulipo.
Na ndomana wapelelezi wengi hupenda kwenda bar kukusanya data zao,
na kuhusu mtoto ndiomanaa hata mahakamani ushahidi wa mtoto unakuwa hauna pingamizi,..
Alafu unaposema mnapretend nakushangaa pia binamu, yani inaelekea bado haujawahi kufika kileleni?
Anyway ni jukumu langu, ntakufundisha
Aisee, ndomana wazungu wanaenda leba na wake zao?? Duuuhhata mm kwa mbali niliiogopa ile Avatarola kwa kuzoom ni ya kawaida![]()
pale mwanamke anapokaribia kileleni ni FAKE tupu
sema anapokaribia kujifungua, hua anatajwa mhusika mwenye mzigo ndio maana kuna mama wanaoNASABA naye wanakuwepo karibu (si mamamkwe au mawifi)