Kama ulikuwa unamchukulia poa Diamond, jipange sana

Kama ulikuwa unamchukulia poa Diamond, jipange sana

Pongezi kwake,

Ushauri wangu ni kurudhisha fadhila kwa jamii. Yawezekana anafanya hivyo mie sijui.

Aanzishe foundation kusaidia jamii ya kitanzania kwa masuala ya elimu, afya , kiuchumi pia kusaidia wazee.

Anafanya vizuri kweny tasnia hii ya muziki .
Uceleb usimweke mbali na jamii .

Wasanii wengi wanasubiri hadi siku za sikukuu kusaidia
Afanye foundation ambayo itasaidia jamii kwa siku zote na sio hadi tukio fulani.

Nawasilisha.
 
Why bado yupo sinza kwenye madimbwi na nyumba anayokaa hata umeme ukikatka hakuna jenereta, mtu mwenye Pesa hajitangazi ila pesa hujitangaza

Kwani kulala 5star ni billion ngapi kama ni $500+ hata mtu ukisichanga unaweza lala
 
Why bado yupo sinza kwenye madimbwi na nyumba anayokaa hata umeme ukikatka hakuna jenereta, mtu mwenye Pesa hajitangazi ila pesa hujitangaza

Kwani kulala 5star ni billion ngapi kama ni $500+ hata mtu ukisichanga unaweza lala

Apo chacha, akisema diamond ni mwanamuzik mzur na anayekubalika sitampinga ila mambo ya kuwa na pesa mmh hayo awaachie akina bakhresa mengi , show moja mil ngap?? Angekaa Sinza vyumba vitat?
 
Kweli mleta uzi umetumwa kumpigia debe diamonda maana bila skendo jina lake hufifia. Haya bana anapesa japo hazina faida kwangu labda kwa mleta uzi.
 
Siku akituonyesha ananyumba yenye hadhi atleast kama ile ya Masanja ntaamini kweli anahela,sio kutuonyesha picha za kile kibanda chake
 
you mean tunaishi kwa kutegemezana hapa duniani,hakuna aliye na umuhimu zaidi au anayeweza kujitosheleza kwa kila kitu hapa duniani,tajiri anamhitaji mkulima maskini kwa chakula and vice vers is true.
kuna lolote baya, udhaifu au kuna watu wanampinga DIAMOND

unanyesha kama vile unamtetea au kuleta habari kwa namna ambayo ina kejeli au kudharulisha wengine

Diamond atabaki uwa yeye, pesa zake yeye, sisi wengine wasikilizaji

Diamond naye anaishi kwa huduma za watu wengine, madaktari, mainjinia, mafundi, walimu, n.k japo huduma za hawa wasomi wengine ni sustainable and guarantee if u know what I mean
 
hii hotel si mtwara hotel ya mheshimiwa membe inaitwa naff blue !! ipo shangani kule karibu na veta !!! haaaa
 
Kapanda dau baada ya Jaguar wa kenya kuwafumbua macho..……!!!
 
View attachment 157624View attachment 157625View attachment 157626View attachment 157627

Diamond Platnumz atazidi kuwa si msanii tu
wa kawaida bali ni moja kati ya wasanii wengi wa kimataifa.ukiacha pesa anayotoza treatment na mahitaji yake hadi kumpandisha kupiga show moja si ya kitoto, kaa utulie usikilize mahitaji haya ya Diamond: Kwanza bila kumtonyesha kuanzia milioni 45 kwenda juu, utaishia kuongea naye kwenye simu tu, bila hata ya kuona sura yake, achana na hiyo basi kwanza kama umeshatenga hilo fungu na kufanikisha kumuita kupiga ku-sign contract yake, inabidi umsafirishe kwa private jet au first class plane, akishatua uwe umeshandaa presidential suit katika hoteli yeyote yenye
hadhi ya nyota tano, kama ni Bongo ni Serena hotel pale wakati huohuo uwe umashatenga vyumba maalumu vikubwa kwa ajili ya team yake wakiwemo Dancers,camera man,dj , mlinzi wake na msaidiz, microphone ya pekee na vyakula atavyohitaji yeye, viwe teyari umeshaweka order vitengenezwe, kama
anavyotaka yeye.

(U-ghari wa diamond unatokana na yeye mwenyewe kuwa brand kubwa, anauwezo wa kujaza uwanja peke yake,lakin pia maandakiz ya kaz zake,nyimbo ama video,hu-invest gharama kubwa,mfano number 1 video orignal na rmx ilitumika zaidi ya million 80,lakin pia ana team aliyowaajili anahitaj awalipe )

Kama ulikuwa
unamchukulia Dangote easy, jipange!.

Milioni 45? Kwa kiingilio cha shilingi ngapi kila mtu, dogo acha kutudanganya
 
Milioni 45? Kwa kiingilio cha shilingi ngapi kila mtu, dogo acha kutudanganya

Waongo hao alete mchakato mzima wa hesabu mpaka alipwe 45M gharama za private jet hotel yake na group yake jumla shilingi ngapi pia hizo pesa zinapatikana vipi? Labda concert Zima la Fiesta pale Leaders Club alipwe peke yake bila gharama za ukumbi, jukwaa na gharama zingine, acha uongo dogo tuletee hesabu hapa, otherwise tunaamini ni 5M kama alizolipwa Mtwara.
 
Back
Top Bottom