autorun255
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,105
- 364
Pongezi kwake,
Ushauri wangu ni kurudhisha fadhila kwa jamii. Yawezekana anafanya hivyo mie sijui.
Aanzishe foundation kusaidia jamii ya kitanzania kwa masuala ya elimu, afya , kiuchumi pia kusaidia wazee.
Anafanya vizuri kweny tasnia hii ya muziki .
Uceleb usimweke mbali na jamii .
Wasanii wengi wanasubiri hadi siku za sikukuu kusaidia
Afanye foundation ambayo itasaidia jamii kwa siku zote na sio hadi tukio fulani.
Nawasilisha.