autorun255
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,105
- 364
Unafikir nan anayemjua kama sio Jamii forum tu??
JF haikimbiliki ndugu..
Hv yale maneno aliyosema kuhusu wema sijui anajisikiaje..
Hii kweli aisee,vipi ule ubuyu wa shigongo?nimengoja adi mate yamenikauka!!!!!
Why bado yupo sinza kwenye madimbwi na nyumba anayokaa hata umeme ukikatka hakuna jenereta, mtu mwenye Pesa hajitangazi ila pesa hujitangaza
Kwani kulala 5star ni billion ngapi kama ni $500+ hata mtu ukisichanga unaweza lala
Nilishautoaga kitambo ndan ya dakika tano ukafutwa, ilikuwa ni noumaa
Aiseeee nimepitwa dah!
kuna lolote baya, udhaifu au kuna watu wanampinga DIAMOND
unanyesha kama vile unamtetea au kuleta habari kwa namna ambayo ina kejeli au kudharulisha wengine
Diamond atabaki uwa yeye, pesa zake yeye, sisi wengine wasikilizaji
Diamond naye anaishi kwa huduma za watu wengine, madaktari, mainjinia, mafundi, walimu, n.k japo huduma za hawa wasomi wengine ni sustainable and guarantee if u know what I mean
Ana uwezo wa kuvuta watu wakarudisha gharama ya mil 45 kwa onyesho moja?
ila masanja anapiga kimyakimya...
View attachment 157624View attachment 157625View attachment 157626View attachment 157627
Diamond Platnumz atazidi kuwa si msanii tu wa kawaida bali ni moja kati ya wasanii wengi wa kimataifa.ukiacha pesa anayotoza treatment na mahitaji yake hadi kumpandisha kupiga show moja si ya kitoto, kaa utulie usikilize mahitaji haya ya Diamond: Kwanza bila kumtonyesha kuanzia milioni 45 kwenda juu, utaishia kuongea naye kwenye simu tu, bila hata ya kuona sura yake, achana na hiyo basi kwanza kama umeshatenga hilo fungu na kufanikisha kumuita kupiga ku-sign contract yake, inabidi umsafirishe kwa private jet au first class plane, akishatua uwe umeshandaa presidential suit katika hoteli yeyote yenye
hadhi ya nyota tano, kama ni Bongo ni Serena hotel pale wakati huohuo uwe umashatenga vyumba maalumu vikubwa kwa ajili ya team yake wakiwemo Dancers,camera man,dj , mlinzi wake na msaidiz, microphone ya pekee na vyakula atavyohitaji yeye, viwe teyari umeshaweka order vitengenezwe, kama
anavyotaka yeye.
(U-ghari wa diamond unatokana na yeye mwenyewe kuwa brand kubwa, anauwezo wa kujaza uwanja peke yake,lakin pia maandakiz ya kaz zake,nyimbo ama video,hu-invest gharama kubwa,mfano number 1 video orignal na rmx ilitumika zaidi ya million 80,lakin pia ana team aliyowaajili anahitaj awalipe )
Kama ulikuwa unamchukulia Dangote easy, jipange!.
Milioni 45? Kwa kiingilio cha shilingi ngapi kila mtu, dogo acha kutudanganya