Kama ulikuwa unamchukulia poa Diamond, jipange sana

Show Gani Anaweza Lipwa 45 M, It Doesnt Make Sense Kwa Ukumbi Upi Bongo Show Yake Ya Mlimani City Tu Alisema Mwenyewe Na Tunamjua Kwa Misifa Akimwambia B12 Na Mchomv Kuwa Iliingiza 60 M Ukichanganya Na Za Wadhamini Ikafika M 100 Japo Am Not So Sure On That, Acheni Kumpigia Promo Na Misifa Ya Kijinga! Wapi Alipo Mr Nice? Do U Remember!?
 

[h=2]Why Diamond missed the UK rugby 7s party[/h] [h=3]Written by JOHN MUCHIRI, posted on May 12, 2014 (10 hours ago)[/h]
3

Bongo Flava star Diamond Bongo Flava star Diamond was scheduled to perform in London on Saturday night at the rugby 7s after party organised by Kenyan promoters living in the UK.
However, on Friday night, Diamond apologised to his fans on Instagram, saying he was not going to make it to London for the show due to unavoidable circumstances.
A close source to the singer, told Chillax that Diamond applied for his visa at the Nairobi UK High Commission quite late and by the time it was processed, it was too late for him to travel.
“His passport was sent to him with the visa, but arrived in Dar es Salaam quite late. It was impossible for Diamond to travel to London,” the source confirmed.
However, Nairobi-based DJ Kriss Darlin and US-based Kenyan DJ, Fully Focus, performed at the event.
 
Hiyo hotel kwenye picha ni Naf Blue view hotel ipo mtwara shangani west jirani na Veta kwa mtwara inaonekana ni 5 star ila kwa dar ipo tu kama grand villa hizo picha tu za usiku ni yakawaida sana...
 
Kila jambo na wakati wake....kutesa kwa zamu
 
Dr. Dre amefunga deal na Apple tayari? hope he gonna be green king in Hip-Hop
 
Hata kanumba alikuwa mkali ila alipofariki ikajulikana kuwa hana hata nyumba sio yake wala wazazi. Ponda raha kwa kwenda mbele.
 

Mil 45 kwa show?? Si angekuwa kwenye hekalu lake anahangaika nn na nyumba za kupanga tena Sinza? Si angekod walau apartment za maana uko masak

Wema mwenyew anatumia gar la clement , ndomo sio muongaj kihivy kusema hela zinaish kuhonga
 
Ningependa pia kufahamu Diamond analipa kodi kiasi gani pale TRA kulingana na hayo mamilioni anayopata.
Hata hivyo maajabu kuona bado anakaa nyumba ya kupanga tena vyumba vitatu
 
Nilitoa taarifa kabla sijautoa, watu wakajiandaa nkatoa kitu kikafutwa ila kuna mtu aliudaka akasambaz kwa wengine , watakuwa nazo kwnye PM

Kwani wewe huna jamani?inamana hua haubaki na copy za ubuyu wako?
 
Kwani wewe huna jamani?inamana hua haubaki na copy za ubuyu wako?

Mmh humu kila mtu ana fani yake binamu , Mimi yangu kutoa ubuyu tu , ulivyofutwa kuna mtu akaniambia ali copy ata alivyo copy cjui ndo akaxisambaz kwa wengine kupitia pm, cjui jins ya kutunz thread wangu
 
Akina Chamilioni na Bebe cool wanajisifu kwa mijumba na magari ghali mno tena mengi....na studio za muziki first class....sio hadithi za ujenzi usioisha.....Diamond fanya sanaa....usijekuwa sehemu ya historia zile zile.....
 
warumi mi nakuulizia wewe tu kama umepigwa bani au la ! Mana Thread ya kijinga tu !

Toka atoe wimbo wa kitoko sijui !
Nimepiga bit madogo yeyote atakae ingiza wimbo ule ndani mi na yeye !
 
Last edited by a moderator:
Hizi sounds tu na mnampa sifa ambazo hana, eti private jet mara first class hivi bongo ni kampuni gani ya ndege (local flight) yenye madaraja? Unajua nyie mnaoleta post za hivi ndio mnawadanganya wasanii na mnawafanya waishi maisha ya kuigiza (fake life) wanaishia kuspend tu na hawana maendeleo yoyote.
 
Kwa nn watanzania mtu akifanya poa,siku zote huwa tunasubiri ama kuomba tu aanguke,why tusiombe aendelee kufanya poa?mbona tupo hivi?why hatupendi vyetu?

Hivi diamond akija kufulia, utaendelea na mradi huu wa kumpaisha paisha pasipo ulazima? Trust me, wewe ndiyo utakuwa wale wa kwanza kumkimbia huyo unayempigia chapuo. Halafu we dogo ni mnafki, dharau na kejeli nyingi. Bahati mbaya wewe ni maskini.
 
Hivi diamond akija kufulia, utaendelea na mradi huu wa kumpaisha paisha pasipo ulazima? Trust me, wewe ndiyo utakuwa wale wa kwanza kumkimbia huyo unayempigia chapuo. Halafu we dogo ni mnafki, dharau na kejeli nyingi. Bahati mbaya wewe ni maskini.
Huyu atasubiria tu kuolewa nadhani
 
Ehh sawa kama hii ni private jet Basi ni made by mleta mada next time jipange
unafeli dogo
 

Attachments

  • 1399926391431.jpg
    14.6 KB · Views: 229
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…