Kama ulikuwa unamchukulia poa Diamond, jipange sana

Labda nimemzoea sana diamond hadi kuona hana kipya
 
Kwa nn watanzania mtu akifanya poa,siku zote huwa tunasubiri ama kuomba tu aanguke,why tusiombe aendelee kufanya poa?mbona tupo hivi?why hatupendi vyetu?

Msanii anasifiwa kwa kazi yake, si kwa gharama ya kumlipa.


Jibu lako heaven on desert hili hapa umejibiwa sina haja ya kukujibu tena, Mr Nice alikuwa na yeye kama boss wako ndio maana nikasema walikuwa wakina Mr Nice sijaongea kwa ubaya, nimekujibu kutokana na thread yako uliyo ileta.
 
Last edited by a moderator:
Vp kwani kiroho kinakuuma au?
Mtu akifanya vyema lazima asifiwe wewe unachochonga ni nini?

Unatafuta bwana, soma uelewe nilicho andika nyinyi ndio mmemaliza shule kwa kunakiri....kuna mahali nimemuona wivu hapo au una ropoka??fatilia history ya Mr Nice ndio urudi kujibu comment yangu.
 
Huyu huku anapuyanga hana cha baunsa dancer wa kameraman na hii picha imepigwa kwa kutumia simu ya mkononi
 

Attachments

  • 1399962578764.jpg
    78.5 KB · Views: 255
Ushauri wa bure nampenda diamond namkubali kwa anachofanya na ni miongoni mwa watz wachache waliompigia kura kwenye tuzo za mama,ushauri wake kwangu ni kwamba aache unnecesary expenditure kama hamna ulazima coz kuimba/mziki ni kipaji na kwa mara nyingi kipaji kina ukomo ila sikatai lazima ajiwekee tofauti ila asiwe expensive saaana mpk akakosa chenji mfukoni-one love
 
Bravo Platnumz. Wenye roho za korosho utawasona kwa michango yao!!!
 
Nlivosomaa kichwaa cha habarii nkajuwaa labdaa ndomoo kanunua gorofa posta kumbe kupandaa private jet yakukodii na kufikia hotel nzurii. Mwambie amalizie swimming pool

Picha ya tatu au ya nne iliyounganishwa hapo ( ghorofa nne kama sikosei, yenye taa nyingi) ni hotel mpya kule Mtwara( Naf Beach Hotel) sasa mimi nilidhan ni Hotel yake kumbe kafikia tu. Pamoja na mafanikio yake tuache masifa ya kijinga yasiyo na tija!
 
Title ya hii Thread ukiwa na akili Timamu utagundua kuwa imekaa Kitaarabu na Ki kike sana !

Na mwanaume hasifiwi ki hivi !

Lmfao
 

Eti ulizani ni nyumba yake,hii thread umesoma pameandikwa vitu anavyomiliki diamond? nimeandika treatment anayoipata diamond na crew yake kwenye show husika huendana na
hadhi yake,kama hapo hiyo hotel ndiyo kubwa na ya kisasa Mtwara..
 
Huyu huku anapuyanga hana cha baunsa dancer wa kameraman na hii picha imepigwa kwa kutumia simu ya mkononi

Eti anapuyanga,unajua kaenda kufanya nini?hata kama kaenda kupuyanga cjui,we ushaenda nchi ipi kupuyanag??Hapo ni london kaenda kwenye issue zingine na siyo show,ubishi tu na chuki za kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…