Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nn watanzania mtu akifanya poa,siku zote huwa tunasubiri ama kuomba tu aanguke,why tusiombe aendelee kufanya poa?mbona tupo hivi?why hatupendi vyetu?
Msanii anasifiwa kwa kazi yake, si kwa gharama ya kumlipa.
Vp kwani kiroho kinakuuma au?
Mtu akifanya vyema lazima asifiwe wewe unachochonga ni nini?
Ana uwezo wa kuvuta watu wakarudisha gharama ya mil 45 kwa onyesho moja?
Wakipatwa na matatizo kidogo tunaanza kuhamasishwa tutoe michango,.
Huyu huku anapuyanga hana cha baunsa dancer wa kameraman na hii picha imepigwa kwa kutumia simu ya mkononi
Nlivosomaa kichwaa cha habarii nkajuwaa labdaa ndomoo kanunua gorofa posta kumbe kupandaa private jet yakukodii na kufikia hotel nzurii. Mwambie amalizie swimming pool
Nyumba ziko wapiii
Ushawahi kulala hapa?
Picha ya tatu au ya nne iliyounganishwa hapo ( ghorofa nne kama sikosei, yenye taa nyingi) ni hotel mpya kule Mtwara( Naf Beach Hotel) sasa mimi nilidhan ni Hotel yake kumbe kafikia tu. Pamoja na mafanikio yake tuache masifa ya kijinga yasiyo na tija!
Nyumba ziko wapiii
Huyu huku anapuyanga hana cha baunsa dancer wa kameraman na hii picha imepigwa kwa kutumia simu ya mkononi