Kama ulikuwa unamchukulia poa Diamond, jipange sana

Hivi kusafiri kwenda London ni issue sana kwa mtu ambaye yupo bongo au sijaelewa???Dogo inaonekanaa husafiri sana wewe
 
Eti anapuyanga,unajua kaenda kufanya nini?hata kama kaenda kupuyanga cjui,we ushaenda nchi ipi kupuyanag??Hapo ni london kaenda kwenye issue zingine na siyo show,ubishi tu na chuki za kijinga

Kwahiyo Kama akienda kwa inshu nyingine haendi na baunsa wake...
 
Eti anapuyanga,unajua kaenda kufanya nini?hata kama kaenda kupuyanga cjui,we ushaenda nchi ipi kupuyanag??Hapo ni london kaenda kwenye issue zingine na siyo show,ubishi tu na chuki za kijinga

Acha uongo hapo sio london ni amsterdam wapo safarini bado na hiyo picha mpigaji ni babu tale nilichotaka kusema ni cameraman tulioqmbiwa yupo wapi baunsa yupo wapi au kazi za hao watu ni kusaidia kuuza sura hapa bongo au kwenye safari zake hana uwezo wa kuwasafirisha sasa wa kazi gani
Soma chini ya hii picha
 

Attachments

  • 1400045276529.jpg
    78.6 KB · Views: 177
ha ha ah Evelyn Salt ..panaitwa Eka hotel hapo,ilikuwa show ya Nairobi...nimeweka tu ka uthibitisho wa nilichokiandika kuwa crew nzima kila mtu anakuwa na room yake

Mbona hapo kuna vitanda viwilii ulilala na naniii
 
Last edited by a moderator:
Hivi huwa hana demu? Si bora niwe nae ili nami niwe naenda nae kumsindikiza diamond?

Bora uwe unamsindikizaa bana lol mwishowe tumfikirie vibayaa,au anaogopa domo anaweza fanya mambo si unajua domo hachelewii
 
sasa cc tujipange kwa lipi labda anatulisha anatuvisha sasa mtoto wakiume unakuwa unasifia ujinga eti mara yupo london mara wapi hii bongo wasanii wanaojua walitendalo wachache sana angalia wapo wapi wakina mr nice,ray c 20 percent, cha msingi asijisahau tu, maana huu mda wake, nahisi nawe utavaa skirt maana mtoto wa kiume kutoa heading za kike " eti jipange mara utajiju ni ukike " poda zina waharibu sana . ipo cku utakuja na heading mlio diss skirt ya daimond dissin na bikin yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…