Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ah Evelyn Salt ..panaitwa Eka hotel hapo,ilikuwa show ya Nairobi...nimeweka tu ka uthibitisho wa nilichokiandika kuwa crew nzima kila mtu anakuwa na room yake
Mbona umelala na jeans, au lilikuwa pozi la picha tu?
Eti anapuyanga,unajua kaenda kufanya nini?hata kama kaenda kupuyanga cjui,we ushaenda nchi ipi kupuyanag??Hapo ni london kaenda kwenye issue zingine na siyo show,ubishi tu na chuki za kijinga
Eti anapuyanga,unajua kaenda kufanya nini?hata kama kaenda kupuyanga cjui,we ushaenda nchi ipi kupuyanag??Hapo ni london kaenda kwenye issue zingine na siyo show,ubishi tu na chuki za kijinga
Ushawahi kulala hapa?
Mbona umelala na jeans, au lilikuwa pozi la picha tu?
ha ha ah Evelyn Salt ..panaitwa Eka hotel hapo,ilikuwa show ya Nairobi...nimeweka tu ka uthibitisho wa nilichokiandika kuwa crew nzima kila mtu anakuwa na room yake
Rudia kusoma thread inahusu nini
Hapo alijilaza kupigia picha tu
Mbona hapo kuna vitanda viwilii ulilala na naniii
Kwan hicho kitanda na changu kina tofauti ganii au akilala kinamrusha rusha juu ninii heloo
Kwani we hukioni bana, hicho ukikilalia unatakiwa uweke pozi tu no kusinzia....
Hivi huwa hana demu? Si bora niwe nae ili nami niwe naenda nae kumsindikiza diamond?
Kumbe, ndo maana kajilaza kwa uoga uoga....