Kama ulikuwa unamchukulia poa Diamond, jipange sana

Kama ulikuwa unamchukulia poa Diamond, jipange sana

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
diamond na crew yake wakiwa kwenye private jet-show ya mwanza.jpgeka-hotel-nairobi.jpghotel aliyofikia diamond show ya mtwara.jpgPhotographer,H.O.D  kwenye chumba chake -show ya nairobi.jpg

Diamond Platnumz atazidi kuwa si msanii tu
wa kawaida bali ni moja kati ya wasanii wengi wa kimataifa.ukiacha pesa anayotoza treatment na mahitaji yake hadi kumpandisha kupiga show moja si ya kitoto, kaa utulie usikilize mahitaji haya ya Diamond: Kwanza bila kumtonyesha kuanzia milioni 45 kwenda juu, utaishia kuongea naye kwenye simu tu, bila hata ya kuona sura yake, achana na hiyo basi kwanza kama umeshatenga hilo fungu na kufanikisha kumuita kupiga ku-sign contract yake, inabidi umsafirishe kwa private jet au first class plane, akishatua uwe umeshandaa presidential suit katika hoteli yeyote yenye
hadhi ya nyota tano, kama ni Bongo ni Serena hotel pale wakati huohuo uwe umashatenga vyumba maalumu vikubwa kwa ajili ya team yake wakiwemo Dancers,camera man,dj , mlinzi wake na msaidiz, microphone ya pekee na vyakula atavyohitaji yeye, viwe teyari umeshaweka order vitengenezwe, kama
anavyotaka yeye.

(U-ghari wa diamond unatokana na yeye mwenyewe kuwa brand kubwa, anauwezo wa kujaza uwanja peke yake,lakin pia maandakiz ya kaz zake,nyimbo ama video,hu-invest gharama kubwa,mfano number 1 video orignal na rmx ilitumika zaidi ya million 80,lakin pia ana team aliyowaajili anahitaj awalipe )

Kama ulikuwa
unamchukulia Dangote easy, jipange!.
 
Hizo picha kwanza leo??au za mwaka jana??kila kitu kina mwanzo na mwisho,walikuwa wakina Mr Nice.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hizo picha kwanza leo??au za mwaka jana??kila kitu kina mwanzo na mwisho,walikuwa wakina Mr Nice.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Kwa nn watanzania mtu akifanya poa,siku zote huwa tunasubiri ama kuomba tu aanguke,why tusiombe aendelee kufanya poa?mbona tupo hivi?why hatupendi vyetu?
 
Hivi Kilimanjaro Kempisk unaichukulia poa?
Na je hapo sinza alipo panga ni 5star?
Kama anazo na anaamini anazo ahame Sinza akanunue apartment Oysterbay au Masaki aendane na hadhi yake,
Pia ile nyumba asiigige tena picha aweke Instagram mpaka ikamilike,
Ajifunze kwa Masanja hatangazi utajiri wake ila unajulikana.
 
kuna lolote baya, udhaifu au kuna watu wanampinga DIAMOND

unanyesha kama vile unamtetea au kuleta habari kwa namna ambayo ina kejeli au kudharulisha wengine

Diamond atabaki uwa yeye, pesa zake yeye, sisi wengine wasikilizaji

Diamond naye anaishi kwa huduma za watu wengine, madaktari, mainjinia, mafundi, walimu, n.k japo huduma za hawa wasomi wengine ni sustainable and guarantee if u know what I mean
 
Hizo picha kwanza leo??au za mwaka jana??kila kitu kina mwanzo na mwisho,walikuwa wakina Mr Nice.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Vp kwani kiroho kinakuuma au?
Mtu akifanya vyema lazima asifiwe wewe unachochonga ni nini?
 
Hivi Kilimanjaro Kempisk unaichukulia poa?
Na je hapo sinza alipo panga ni 5star?
Kama anazo na anaamini anazo ahame Sinza akanunue apartment Oysterbay au Masaki aendane na hadhi yake,
Pia ile nyumba asiigige tena picha aweke Instagram mpaka ikamilike,
Ajifunze kwa Masanja hatangazi utajiri wake ila unajulikana.

Hlo nalo neno , akapange apartment ya masaki aendane na hadh yake , sijui tajir gan huyo ambYe had kesho anaish kwa kulipa kodi ya nyumba.

Ingawa ni msanii mzur na anakubalika sana
 
Back
Top Bottom