Kama Ulishindwa kwa JK, Je kwa JPM utaweza?

Kama Ulishindwa kwa JK, Je kwa JPM utaweza?

huu uzi umekaaa kichokozi chokozi,Ila wazee wa shortcut saivi dah wapo hoiiii bin taabani,mdogo mdogo wanayoooka!
 
Uzuri ni kwamba mapigo haya twayapata wote.....na pengine mimi nina ahueni kuliko wewe

Nyinyi ccm maslahi na mafisadi wenzenu ndio mtaumia sisi huku site tunafurahi mambo kuwekwa level!!
 
Nyinyi ccm maslahi na mafisadi wenzenu ndio mtaumia sisi huku site tunafurahi mambo kuwekwa level!!
Fatilia comment/post zangu utagundua kuwa CCM ni adui yangu namba "moko"......
 
Back
Top Bottom