Kama ulishuhudia uwepo wa gari hizi utotoni we ni mkongwe.

Kama ulishuhudia uwepo wa gari hizi utotoni we ni mkongwe.

bongo dili

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2015
Posts
12,350
Reaction score
25,180
main-qimg-e3b041e2e8af618221131f998a12ea2d.jpg
 
Gari zote tajeni ila isuzu kiboko yao kwani hata ikipinduka bendera hubaki zikipepea! Malori haya yalikuwa na bendera mbili mbele kwenye bodi waliyapenda sana waarabu wa usukumani kubebea pamba.
Leyland Beaver huu ulikuwa mchuma wa kubebea mizigo mizito milimani.
 
Landover first series,combi,beattle,pegout 404, pikipiki vespa,baiskel phoenix,chura, Kobe, Bedford Ile inayosonya,

Kitu combi combi...

Ongezea Isuzu zile tipper za mchanga, Leyland kama za Railway, Fiat
 
Back
Top Bottom