Kama ulishuhudia uwepo wa gari hizi utotoni we ni mkongwe.

Kama ulishuhudia uwepo wa gari hizi utotoni we ni mkongwe.

Hii siyo Tanzania wala siyo Tanganyika.

Kafanye homework yako vizuri.

Kwani mleta uzi kuna mahali kasema ni Tanzania ama Tanganyika?
Wee Bibi nishakuambia kuna sikh nitakuzaba vibao live!!!
Na vile navyokujua, wala haitobipa shida maana tabia zako za mtaani ndio hizi humu jf!
 
Ikarus "Kumbakumba"
transport-pic.jpg
 
Aisee hiyo Volkswagen kama hiace ilikua ina mlio kama Helicopter ikipita inapanda mlima mtaa mzima mtasikia
Zamani combi ndio sawa na Alphad kwa Sasa hivi
 
Landover first series,combi,beattle,pegout 404, pikipiki vespa,baiskel phoenix,chura, Kobe, Bedford Ile inayosonya,
Nimesoma kote nilipofika hapo nimepasuka kicheko bila maandalizi🤣😂👋👊✍️🤜🤛 kumbe dharau hazikuwa kwa binadamu peke yao

Kulikuwa Fiat 682 inayopiga chafya pia
 
Kulikuwa na Bedford inasonya na Fiat inapiga chafya.
Isuzu inabembeleza
 
Back
Top Bottom