Kama ulisikia kuwa NMB wanatoa mkono wa pole kwa mteja akifariki basi ulidanganywa!

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
1,018
Reaction score
2,366
Nadhani hizi stori sio ngeni kwetu! Mbaya zaidi hata baadhi ya staff wa NMB hawajui uhalisia wa jambo hili!!
Hebu angalia hiki kisa changu!

Mwaka huu mwezi wa pili nilifiwa na baba Yangu mzazi..
Na huyu mzee alikuwa mteja wa NMB tuseme kuanzia anaajiriwa akiwa kijana hadi akastaafu zaidi ya miaka 40 yupo na NMB toka ikiwa sijui NBC huko
Basi na Mimi nilikuwa nimesikia hizi stori kwamba Kuna mkono wa pole NMB basi baada ya kumaliza mazishi na mambo mengineyo wakati wa kufuatilia mirathi nikaenda NMB kutoa taarifa kuwa mteja wao is no longer..
Basi mkaka mmoja mcheshi hivi Huduma kwa wateja akanipokea vizuri akaomba nyaraka zote ikiwemo cheti Cha kifo n.k
Basi baada ya wiki mbili akanichek
Niende branch

Nikafika wakasema
Mkono wa pole Haupo!!
Why?

Wakasema sio kila mteja anakuwa na hiyo Huduma ni baadhi ya akaunti au mteja awe amejiunga na bima ya faraja!!

So kumbe NMB mteja akistaafu wanamhamishia kwenye akaunti ya wastaafu ambayo wanajua kabisa hata mteja akifariki hakuna kitu atapata..

Kwahiyo Leo nimeona niwasanue hili..
Puuzeni taarifa zozote za NMB kutoa mkono wa pole kwa mteja hata kama amekuwa mteja kwa miaka 200!

Ni hayo tu...
Baadae nitaleta upuuzi mwingine niliokutana nao NHIF
 
Mkono wa pole Hayupo!!

Ni kweli, zamani ilikuwa kwa kila aina ya akaunti. Ila kwa sasa wamezi categorise. Sio akaunti zote zina hio sifa. Hasa hasa akaunti zisio na makato kabisa kabisa.
Na kiuhalisia hio pesa ya mkono wa Pole huwa sio wao bank ndio wanatoa, ni insurance company. Bank inakuwa kati tu ku claim hizo pesa.
Ndio maana akaunti ziso makato kwa vile zinakuwa hazijachangia chcht kwenye insurance huwa hawapati kiasi chocht. Pia kuna akaunti zina makato makubwa zaidi kama privilege accounts hizo pia huwa wanapata salio kubwa zaidi km mkono wa pole kwa familia ya marehemu zikiwemo na benefits nyenginezo
 
Umeona concern yangu? Mteja alikuwa kwenye akaunti zenye makato almost 20 years.. alipostaafu akahamishiwa akaunti isiyo na makato ili akose sifa !!
 
Pole mkuu, ila hahaaaa, au ilikua usha Anza kuipigia hesabu hiyo pesa unajua pesa ukiwa hujaishika ukaipigia hesabu, huikamati kabisa
 
Swali:
Je,bank ingefanikiwa kukupatia huo mkono wa pole ungeuweka wazi kwa ndugu zako na wafiwa wengine?
 
Nadhani hizi stori sio ngeni kwetu! Mbaya zaidi hata baadhi ya staff wa NMB hawajui uhalisia wa jambo hili!!
Hebu angalia hiki kisa changu!

Mwaka huu mwezi wa pili nilifiwa na baba Yangu mzazi..
Na huyu mzee alikuwa mteja wa NMB tuseme kuanzia anaajiriwa akiwa kijana hadi akastaafu zaidi ya miaka 40 yupo na NMB toka ikiwa sijui NBC huko
Basi na Mimi nilikuwa nimesikia hizi stori kwamba Kuna mkono wa pole NMB basi baada ya kumaliza mazishi na mambo mengineyo wakati wa kufuatilia mirathi nikaenda NMB kutoa taarifa kuwa mteja wao is no longer..
Basi mkaka mmoja mcheshi hivi Huduma kwa wateja akanipokea vizuri akaomba nyaraka zote ikiwemo cheti Cha kifo n.k
Basi baada ya wiki mbili akanichek
Niende branch

Nikafika wakasema
Mkono wa pole Haupo!!
Why?

Wakasema sio kila mteja anakuwa na hiyo Huduma ni baadhi ya akaunti au mteja awe amejiunga na bima ya faraja!!

So kumbe NMB mteja akistaafu wanamhamishia kwenye akaunti ya wastaafu ambayo wanajua kabisa hata mteja akifariki hakuna kitu atapata..

Kwahiyo Leo nimeona niwasanue hili..
Puuzeni taarifa zozote za NMB kutoa mkono wa pole kwa mteja hata kama amekuwa mteja kwa miaka 200!

Ni hayo tu...
Baadae nitaleta upuuzi mwingine niliokutana nao NHIF
Bongo , za kuambiwa changanya na zako, wakupe what what!!
 
Back
Top Bottom