Kama ulisoma hili gazeti wewe ni mwamba sana. tuambie maisha yanaendaje pande hizo

Red black

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
18,719
Reaction score
60,636
:FireDuck:Agost 1985
IMG_20260521_161350_802~2.jpg
 
Vichwa vya habari vizito, ndani upupu

Sioni wanapoeleza NI KIVIPI HANGA NI MPUMBAVU

Na NI KIVIPI KAMBONA NI MSALITI, MWIZI NA MALAYA

Jamaa alikuwa bonge la dictator
Ni kwa hoja za zidumu fikra za Mwenyekiti. Tuliwaita Wakenya manyang'au.

Tuliaminishwa kwamba hali mbaya ya uchumi ni ya dunia nzima.

RTD walikuwa na dakika kama tano kila baada ya taarifa ya habari saa mbili usiku na saa moja asubuhi za mazungumzo baada ya habari. Hapo ni brainwashing tu ilikuwa ikifanywa.
 
Baadaye wakaja na Ile "Kama siyo juhudi zako Nyerere.. Uhuru tungeupata wapi" 😄
 
Back
Top Bottom