Kama ulitarajia Yanga kushinda basi hujui mpira

Wale hawana cha kupotezaaa, kule wao ni mashambulizi mwanzo mwengaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mtaonaaaaa
[emoji23] mvua nayo ilikuwa uchawi tosha kwa yanga leo, me nahakika waarabu wataenda kuumia si chini ya goli 2 kwao.
 
Wale hawana cha kupotezaaa, kule wao ni mashambulizi mwanzo mwengaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mtaonaaaaa
Halafu pia watakuwa wanacheza huku wakijilinda, the same thing kwa kilichotokea kwa wanayanga, so kule yanga wanapaswa wakampelekee moto haswa mwarabu.
 
Na kukumbatia wachezaji wazee. Labda super league itawaamsha usingizini, ngoja tuone.
Hakuna kitu paleee miku@d yao inanuka tuu,yaani yanapigwa bao hata na singida wanamchukua mbegu !aseeeee yameniudhi sana yale masengerema sema basi tuu.
 
Mkumbuke kuwa Yanga pia yupo kwenye fainali ya Azam confederation vipi Kwa Simba alikutana na timu ngumu mpaka kushindwa kufika fainali?
 
[emoji23] mvua nayo ilikuwa uchawi tosha kwa yanga leo, me nahakika waarabu wataenda kuumia si chini ya goli 2 kwao.
Thubutuuuuuuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu pia watakuwa wanacheza huku wakijilinda, the same thing kwa kilichotokea kwa wanayanga, so kule yanga wanapaswa wakampelekee moto haswa mwarabu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaonaga waarabu wakiwa kwaoo?? Jinsi wanavyo cheza?
 
yaani hichi ulichoandika we ndo unajua mpira???KWELI BORA ANDAZI
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaonaga waarabu wakiwa kwaoo?? Jinsi wanavyo cheza?
Dah kwa kilicho happen jana nimeshindwa hata kukujibu kwamba "unawaona yanga wanavyochezaga wakiwa kwa mkapa" [emoji23]
 
Iyo ngekewa mbona imekushinda wewe kwa misimu 4 mfululizo? Ngekewa kama ni rahisi wewe ilikushindaje kwa miaka 4? Wewe uliyekutana na wakina de agosto ihefu wa bongo au wakina big bullett ruvu shooting iliyochangamka ndio ulipita kwenye njia ngumu? Ulipewa kichwa na mungu kutunza akili na sio kutunza makamasi ebho!!
 
Msiwe mnajibatiza uwezo àmbao hamna. Hakuna mpira wowote unaoujua labda wa Pete.
 
Punguza makasiriko ndugu. Tupo tunaenjoy utulivu ulioletwa na waarabu
 
ungeandika kabla ya mechi kuchezwa ungeeleweka, matokeo yameshatoka ndio unajifanya unajua mpira? WE HUNA TOFAUTI NA WALE WACHAMBUZI WA MPIRA WA RADIO FREE AFRICA
 
ungeandika kabla ya mechi kuchezwa ungeeleweka, matokeo yameshatoka ndio unajifanya unajua mpira? WE HUNA TOFAUTI NA WALE WACHAMBUZI WA MPIRA WA RADIO FREE AFRICA
Kwani si tulikuwa tunawaambia kuwa mnakutana na vibonde mkawa mnabisha?
 
Msiwe mnajibatiza uwezo àmbao hamna. Hakuna mpira wowote unaoujua labda wa Pete.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shabiki wa yangaaa unatesekaa ukiwa wapiiii?? Tatizo hujuagi kujifichaaaa, eti neutral shabiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah kwa kilicho happen jana nimeshindwa hata kukujibu kwamba "unawaona yanga wanavyochezaga wakiwa kwa mkapa" [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi hapo jibu unaloo sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…