Kama ulitarajia Yanga kushinda basi hujui mpira

Baada ya kushindwa ndo unasema😂😂😂😂
Uuuuh
 
HIKI NDO TUNAITA KISUNUNU
 
Halafu pia watakuwa wanacheza huku wakijilinda, the same thing kwa kilichotokea kwa wanayanga, so kule yanga wanapaswa wakampelekee moto haswa mwarabu.
Ndio mtakula saba kama hamtacheza kwa tahadhari. Waarabu wamecheza mpira asilimia 35 mmekandwa bao mbili wakifunguka na kucheza asilimia 60 si mtapigwa saba?
 
[emoji23] mvua nayo ilikuwa uchawi tosha kwa yanga leo, me nahakika waarabu wataenda kuumia si chini ya goli 2 kwao.
Hii point ya mvua inanikera kweli

Mbona simba alishinda dhidi ya wydad haliyakuwa mvua muda ilikuwa ikinyesha???

Je? Hao USM Alger kwao palikuwa pakavu payanga palikuwa na mvua???

Hamtaki kukubali makosa na kujifunza kuwa wale mabwama attacking force yao ipo vizuri na wanajua kutumia nafasi....wana height na weight as well kwahiyo mipira ya juu pia wapo vizuri kwahiyo mjipange mtashinda vipi badali yake nyie mnajadili mambo kisiasa tena
 

Acheni kupotosha watu banaa
 
Ndio mtakula saba kama hamtacheza kwa tahadhari. Waarabu wamecheza mpira asilimia 35 mmekandwa bao mbili wakifunguka na kucheza asilimia 60 si mtapigwa saba?
Mkuu me ni shabiki wa simba, ila hayo yalikuwa mawazo yangu tu [emoji4]
 
Mkuu hayo ni mawazo kama mawazo mengine tu, kwahiyo usikereke [emoji4]
 
Kucheza fainali ya caf confederation cup au champions league ni heshima kubwa
Unasema mpongezwe kwa kufika fainali kwakua Simba Sc hajawahi kufika huko.

Nyinyi robo fainali CAFCL mliwahi kufika lini? Kwanini Simba Sc nao wasipongezwe?
 
Wale hawana cha kupotezaaa, kule wao ni mashambulizi mwanzo mwengaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mtaonaaaaa
Sijui waliona wapi mwarabu anacheza game ya kujilinda akiwa kwao, waarabu wakiwa kwao huwa wanamwaga moto wote, wasitarajie kuwaona hata wakijingusha.

Lazima wachapike kuanzia goli mbili.
 
Halafu pia watakuwa wanacheza huku wakijilinda, the same thing kwa kilichotokea kwa wanayanga, so kule yanga wanapaswa wakampelekee moto haswa mwarabu.
Wale jamaa mkisema muwadharau kwa kiwango hicho mtaoga mengi sana, hamuwezi kucheza mchezo wa kupishana na mwarabu.
 
Yanga ndiyo mabingwa wa Taifa la Tanzania kwa sasa, tuwape heshima yao.
Kombe gani alilonalo nalo Yanga ambalo Simba Sc hana? Heshima mtaipata kwa kuchukua kombe kama hili ambalo Simba Sc hana.

Kitu ambacho hamuwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…