BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,330
Ngoja tusubiri [emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi hapo jibu unaloo sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tusubiri [emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi hapo jibu unaloo sasa
Baada ya kushindwa ndo unasema😂😂😂😂Japo wakati mwingine mpira unakuwa na matokeo ya kushangaza lakini kuna wakati lazima uonyeshe uwezo ili uweze kuwa bingwa. Yanga wametembelea ngekewa hadi kufika fainali. Kwanza kucheza shirikisho halikuwa lengo lao wakati msimu unaanza. Lengo lilikuwa kucheza Champions league ambapo tangu karne ya 21 ianze hawajui michuano hii inafananaje. Kwa sababu ya uwezo mdogo wakatolewa wakaangukia shirikisho.
Ukiangalia njia waliyopitia hadi kufika final unaona kabisa walikuwa wanakutana na timu mbovu. Hawa waarabu tangu mashindano yaanze hawajawahi kushinda ugenini ila leo wamemfunga yanga ugenini. Tena ni vile tu walicheza kwa kujihami lakini ni dhahiri kuwa wakitaka kufunga anytime wanaenda wanafunga.
Kwa mtu wa mpira hapaswi kuumia japo kufungwa inauma. Hatua waliyofika msimu huu ni kubwa sana kwa upande wao, ni hatua ambayo hawajawahi kuifikia. Swali la kujiuliza ni je wataweza kufika huko kwenye msimu unaokuja? Kama msimu huu umefika fainali maana yake msimu unaofuata usipofika final unakuwa umeunderperform.
Mashabiki wa yanga wanaona Champions league haina tofauti na confederation. Wanaona Simba kutolewa robo fainali na bingwa mtetezi ni udhaifu kwa simba. Mimi natamani msimu ujao yanga wafuzu kucheza Champions league tuone kama watafika hata hiyo robo.
Mwsho kabisa niwashukuru waarabu kwa kutuletea utulivu, maana hali ilikuwa ngumu, kelele zilikuwa nyingi mno.
Aaah weeeh kwa hyo unajua nin?Kwa tunaojua hata hatujashangaa[emoji3][emoji3][emoji3]
HIKI NDO TUNAITA KISUNUNUJapo wakati mwingine mpira unakuwa na matokeo ya kushangaza lakini kuna wakati lazima uonyeshe uwezo ili uweze kuwa bingwa. Yanga wametembelea ngekewa hadi kufika fainali. Kwanza kucheza shirikisho halikuwa lengo lao wakati msimu unaanza. Lengo lilikuwa kucheza Champions league ambapo tangu karne ya 21 ianze hawajui michuano hii inafananaje. Kwa sababu ya uwezo mdogo wakatolewa wakaangukia shirikisho.
Ukiangalia njia waliyopitia hadi kufika final unaona kabisa walikuwa wanakutana na timu mbovu. Hawa waarabu tangu mashindano yaanze hawajawahi kushinda ugenini ila leo wamemfunga yanga ugenini. Tena ni vile tu walicheza kwa kujihami lakini ni dhahiri kuwa wakitaka kufunga anytime wanaenda wanafunga.
Kwa mtu wa mpira hapaswi kuumia japo kufungwa inauma. Hatua waliyofika msimu huu ni kubwa sana kwa upande wao, ni hatua ambayo hawajawahi kuifikia. Swali la kujiuliza ni je wataweza kufika huko kwenye msimu unaokuja? Kama msimu huu umefika fainali maana yake msimu unaofuata usipofika final unakuwa umeunderperform.
Mashabiki wa yanga wanaona Champions league haina tofauti na confederation. Wanaona Simba kutolewa robo fainali na bingwa mtetezi ni udhaifu kwa simba. Mimi natamani msimu ujao yanga wafuzu kucheza Champions league tuone kama watafika hata hiyo robo.
Mwsho kabisa niwashukuru waarabu kwa kutuletea utulivu, maana hali ilikuwa ngumu, kelele zilikuwa nyingi mno.
Kwahiyo Waarabu walikuwa samaki au?[emoji23] mvua nayo ilikuwa uchawi tosha kwa yanga leo, me nahakika waarabu wataenda kuumia si chini ya goli 2 kwao.
Ndio mtakula saba kama hamtacheza kwa tahadhari. Waarabu wamecheza mpira asilimia 35 mmekandwa bao mbili wakifunguka na kucheza asilimia 60 si mtapigwa saba?Halafu pia watakuwa wanacheza huku wakijilinda, the same thing kwa kilichotokea kwa wanayanga, so kule yanga wanapaswa wakampelekee moto haswa mwarabu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja tusubiri [emoji4]
Hii point ya mvua inanikera kweli[emoji23] mvua nayo ilikuwa uchawi tosha kwa yanga leo, me nahakika waarabu wataenda kuumia si chini ya goli 2 kwao.
Japo wakati mwingine mpira unakuwa na matokeo ya kushangaza lakini kuna wakati lazima uonyeshe uwezo ili uweze kuwa bingwa. Yanga wametembelea ngekewa hadi kufika fainali. Kwanza kucheza shirikisho halikuwa lengo lao wakati msimu unaanza. Lengo lilikuwa kucheza Champions league ambapo tangu karne ya 21 ianze hawajui michuano hii inafananaje. Kwa sababu ya uwezo mdogo wakatolewa wakaangukia shirikisho.
Ukiangalia njia waliyopitia hadi kufika final unaona kabisa walikuwa wanakutana na timu mbovu. Hawa waarabu tangu mashindano yaanze hawajawahi kushinda ugenini ila leo wamemfunga yanga ugenini. Tena ni vile tu walicheza kwa kujihami lakini ni dhahiri kuwa wakitaka kufunga anytime wanaenda wanafunga.
Kwa mtu wa mpira hapaswi kuumia japo kufungwa inauma. Hatua waliyofika msimu huu ni kubwa sana kwa upande wao, ni hatua ambayo hawajawahi kuifikia. Swali la kujiuliza ni je wataweza kufika huko kwenye msimu unaokuja? Kama msimu huu umefika fainali maana yake msimu unaofuata usipofika final unakuwa umeunderperform.
Mashabiki wa yanga wanaona Champions league haina tofauti na confederation. Wanaona Simba kutolewa robo fainali na bingwa mtetezi ni udhaifu kwa simba. Mimi natamani msimu ujao yanga wafuzu kucheza Champions league tuone kama watafika hata hiyo robo.
Mwsho kabisa niwashukuru waarabu kwa kutuletea utulivu, maana hali ilikuwa ngumu, kelele zilikuwa nyingi mno.
Aisee [emoji23]Kwahiyo Waarabu walikuwa samaki au?
Mkuu me ni shabiki wa simba, ila hayo yalikuwa mawazo yangu tu [emoji4]Ndio mtakula saba kama hamtacheza kwa tahadhari. Waarabu wamecheza mpira asilimia 35 mmekandwa bao mbili wakifunguka na kucheza asilimia 60 si mtapigwa saba?
That day hutaamini kitakachotokea mkuu [emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hayo ni mawazo kama mawazo mengine tu, kwahiyo usikereke [emoji4]Hii point ya mvua inanikera kweli
Mbona simba alishinda dhidi ya wydad haliyakuwa mvua muda ilikuwa ikinyesha???
Je? Hao USM Alger kwao palikuwa pakavu payanga palikuwa na mvua???
Hamtaki kukubali makosa na kujifunza kuwa wale mabwama attacking force yao ipo vizuri na wanajua kutumia nafasi....wana height na weight as well kwahiyo mipira ya juu pia wapo vizuri kwahiyo mjipange mtashinda vipi badali yake nyie mnajadili mambo kisiasa tena
Unasema mpongezwe kwa kufika fainali kwakua Simba Sc hajawahi kufika huko.Kucheza fainali ya caf confederation cup au champions league ni heshima kubwa
Nadhani kamaanisha kufika group.Na wewe unafatilia mpira upi Hadi usijue kuwa Yanga tayari kasha qualify kushiriki champions League mwakani ??
Sijui waliona wapi mwarabu anacheza game ya kujilinda akiwa kwao, waarabu wakiwa kwao huwa wanamwaga moto wote, wasitarajie kuwaona hata wakijingusha.Wale hawana cha kupotezaaa, kule wao ni mashambulizi mwanzo mwengaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtaonaaaaa
Wale jamaa mkisema muwadharau kwa kiwango hicho mtaoga mengi sana, hamuwezi kucheza mchezo wa kupishana na mwarabu.Halafu pia watakuwa wanacheza huku wakijilinda, the same thing kwa kilichotokea kwa wanayanga, so kule yanga wanapaswa wakampelekee moto haswa mwarabu.
Kombe gani alilonalo nalo Yanga ambalo Simba Sc hana? Heshima mtaipata kwa kuchukua kombe kama hili ambalo Simba Sc hana.Yanga ndiyo mabingwa wa Taifa la Tanzania kwa sasa, tuwape heshima yao.