Kama uliwahi kuisifia series ya LOST njoo hapa

Series yenyewe inaitwa lost na wewe ukaenda kupotea mazima.

Shangaa na wewe mr. Ibu. Anyway Vikings na Last ship zote Nzuri . Ila anza na last ship


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hiyo series ya 24 Inahusu Nini? Na imekuvutia Nini kwenye hiyo series?
mzee kama una interest na series zinazo husu jinsi usalama wa taifa wanavyo operate mission mbalimbali kulinda nchi basi hakuna series ambayo inaweza kuipita 24 kweny intelligence matukio ni unpredictable huwez jua tukio linalofuata unakuta mtu ni adui mwanzo wa series anakuja kuwa upande wa nchi anarud Tena kuwa adui hahaha hata rais anakuja kuwa adui tafuta muda utulie Anza nayo season 3 hiv
 
Ok nimekupata naomba unisaidie kwenye hili nimedownload series ya West world episode 1 nimeangalia kifupi kwenye app ya popcorn Time ili niende kula baada ya kuanza Tena niendelee nimekuta mwaga umepungua lakini pia subtitle haioneshi Kama mwanzo naomba unisaidie kwenye hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…