sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Wale ambao mmewahi kusoma, kuishi, kujuana na watu maarufu kama wana muziki, wacheshi, waigizaji, wanamichezo, n.k watu Maarufu, maisha yao yalikuwa vipi kipindi hicho mkiwa shule mliyosoma, mtaa mlioishi, katiba urafiki ama kujuana kwenu, n.k
Binafsi niwe mkweli tu, sina mtu niliewahi kusoma nae, kujuana nae ama kuishi nae mtaa moja, ambae amewahi kuwa maarufu. Njia ya muongo ni fupi, nikidanganya hapa kwamba nimewahi kujuana na flani naweza kuulizwa maswali nikabaki najiuma uma tu.
Muhimu: Usitunge story za uongo (chai)