Kama uliwahi kusoma darasani, kuishi karibu au kujuana na mtu maarufu (celebrity), maisha yake yalikuwaje?

Kama uliwahi kusoma darasani, kuishi karibu au kujuana na mtu maarufu (celebrity), maisha yake yalikuwaje?

AY, Kajala na Dataz

AY alikua mstaarab sana, asiye na makuu. Walikua na kundi lao likiitwa SoG tokea wako shule O' Level.

Dataz hutu alihamia akiwa na kipaji na hilo jina la Dataz ameanza nalo tokea akiwa O'level.

Kajala hapa naomba nisiongee sana ila alikua mzuri sana, na yeye alikua anajua kwamba ni mzuri (naongelea wakati namfaham akiwa form two wazazi wake wakiwa wanaishi O'bay polisi).
Hivi K naskia kwenye concert moja(enzi hizoo za kwetu)alicheza mpk akavua nguo na kubaki na chupi!?!![emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
AY shule moja alinitangulia darasa moja.

Datazi nilimtangulia darasa moja.

Kuhusu Kajala tulifahamiana tu yeye akisoma shule moja Songea huko, likizo ndio ilikua namfahamu zaidi)
Kwani jiteute alihama au alihamia K...!!!
 
Hivi K naskia kwenye concert moja(enzi hizoo za kwetu)alicheza mpk akavua nguo na kubaki na chupi!?!![emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mambo yake ya shule sikua nayafaham au kuyafuatilia sana ( hapa naongelea akiwa Songea). Nimejikita kipengere kidogo sana. Alikua mrembo.
 
Hivi K naskia kwenye concert moja(enzi hizoo za kwetu)alicheza mpk akavua nguo na kubaki na chupi!?!![emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mambo yake ya shule sikua nayafaham au kuyafuatilia sana ( hapa naongelea akiwa Songea). Nimejikita kipengere kidogo sana. Alikua mrembo.
Okay sawa,basi enzi yuko jiteute alikua motooo K, katulia sana Siku hizi...!!
 
Mkuu Heshima yk
Nilisoma na Majaliwa O-level. Alikuwa mwongo, usiombe. Bora siku hizi kuna wakati anasema kaukweli kiasi.
20211213_064604.jpg
 
Daaah! nakumbuka miaka ya 2000 tulikuwa tunaishi mtaa mmoja na msaani mmoja anaitwa VOICE WONDER huyu jamaa alikuwa peace na kipindi hicho nipo shule ya msingi Tabata nilikuwa nawatambia sana mademu kuwa voice wonder ni broh angu, niliopoa sana mademu sababu ya huyu jamaa.


Baadae nikahamishwa shule na kuhamia shule ya msingi MABIBO ile mabibo ya MAKUBURI, daah huku pia nikapata rafiki mmoja darasani anaitwa ISSA ABDALLAH sasa hivi huyu jamaa anacheza mpira IHEFU anatumia jina la ISSAH NGOAH basi bwana kumbe huyu mshikaji kaka ake alikuwa ni MB DOG aisee nikatamba tena mtaani kwangu kuwa MB DOG ni broh angu maana mdogo ake nipo nae darasa moja , alafu kipindi hicho MB DOG walikuwa wanakaa mtaa mmoja na ZOLA D na msaani mwingine alikuwa anaitwa SHELEA MAN, Nakumbuka siku moja ISSA alikuja nyumbani kufata samaki wa kufuga wale way back sana alikuja na kaka ake MB GOD aisee mtaa mzima ulihamia nyumbani, nikaopoa sana mademu [emoji14]

Baada Issa kumleta kaka ake nyumbani baadae jamaa (Mb dog) alikuwa anakuja mwenyewe tu kuchukua samaki, nilipata sana fame mtaani siku nyingine alikuwa anakuja na ZOLA D jamaa alikuwa mbavu kinoma basi mtaani na mimi nikawa super star, nikawa nagonga pisi kali tu kipindi hicho, wakawa wanakuja hadi kina SQUEZAR, DATAZ, MADEE, JAFARAY


Baadae kabisa nikawa najulikana na wasanii wengi tu sababu ya kuuza samaki wa mapambo hawa na hadi leo hii nina connetion na wasanii kama wote kina mr blue, songa, grace matata, damian soul, G nako, babu wa kitaa na mdogo ake country boy, dogo janja, madee, jay moe na wengine sababu ya samaki wa mapambo na ndio biashara yangu kubwa inayonikutanisha na watu maarufu hadi leo [emoji1431]
 
Wale ambao mmewahi kusoma, kuishi, kujuana na watu maarufu kama wana muziki, wacheshi, waigizaji, wanamichezo, n.k watu Maarufu, maisha yao yalikuwa vipi kipindi hicho mkiwa shule mliyosoma, mtaa mlioishi, katiba urafiki ama kujuana kwenu, n.k


Binafsi niwe mkweli tu, sina mtu niliewahi kusoma nae, kujuana nae ama kuishi nae mtaa moja, ambae amewahi kuwa maarufu. njia ya muongo ni fupi, nikidanganya hapa kwamba nimewahi kujuana na flani naweza kuulizwa maswali nikabaki najiuma uma tu.

Muhimu: usitunge story za uongo (chai)
Tabata hiyo nishawah kaa na mr Blue nyumbani kwa kina Dully basi uani kwa kina dully kuna kijisehem wametengeneza kwa ajili ya kupumzika na kuvutia bange blue alikua anavuta sana sijui kama kaacha siku hz tulikua tunapiga story za mipira na yeye alikua anashabikia France kipindi hicho kombe la dunia 2010
 
Daud Albert Bashite, Pamba secondary!
Nilishangaa nakutana nae ofisi moja akijulikana kama Paul M. akiwa maarufu balaa!
Kwa sasa mitandaoni anajulikana kama Baba Kaegan, ila umaarufu wake kwa sasa umeshuka!
Huyu aliwahi kumpiga mzee mmoja aliyekuwa anasoma na Babu yangu, na kuwa marafiki sana mara nyingi walikuwa wakitembeleana na mimi Babu yangu alipenda sana pindi akienda kumtembelea huyo mzee mwenzake niende nae nilipokuwa mdogo!
Hawa wazee nawapenda sana wamenifundisha mengi!
 
Back
Top Bottom