sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
[emoji3516]Wale ambao mmewahi kusoma, kuishi, kujuana na watu maarufu kama wana muziki, wacheshi, waigizaji, wanamichezo, n.k watu Maarufu, maisha yao yalikuwa vipi kipindi hicho mkiwa shule mliyosoma, mtaa mlioishi, katiba urafiki ama kujuana kwenu, n.k
Binafsi niwe mkweli tu, sina mtu niliewahi kusoma nae, kujuana nae ama kuishi nae mtaa moja, ambae amewahi kuwa maarufu. njia ya muongo ni fupi, nikidanganya hapa kwamba nimewahi kujuana na flani naweza kuulizwa maswali nikabaki najiuma uma tu.
Muhimu: usitunge story za uongo (chai)
Mwaga nyama[emoji3516]
TULIOSOMA DARASA MOJA NA BRO. POLEPOLE TUNARUHUSIWA KUCHANGIA UZI?
Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Hawa wote umesoma nao shule moja, darasa moja?AY, Kajala na Dataz
AY alikua mstaarab sana, asiye na makuu. Walikua na kundi lao likiitwa SoG tokea wako shule O' Level.
Dataz hutu alihamia akiwa na kipaji na hilo jina la Dataz ameanza nalo tokea akiwa O'level.
Kajala hapa naomba nisiongee sana ila alikua mzuri sana, na yeye alikua anajua kwamba ni mzuri (naongelea wakati namfaham akiwa form two wazazi wake wakiwa wanaishi O'bay polisi).
AY shule moja alinitangulia darasa moja.Hawa wote umesoma nao shule moja ,darasa moja?
Probably umesoma tanga?Binafsi Olevel nilisoma na Gerry wa Rymes,Shuleni alikuwa anaitwa George.
Nikiwa form one yeye alikuwa form four.Alikuwa mtukutu sana shuleni.
Tumegombania sana mihogo
Bunge nini mkuu?Nimesoma darasa moja primary na Country boy, kiukweli sikumbuki chochote hata alipokua msanii sikumjua kama nilisoma nae hadi siku nilipoambiwa na classmate mwingine.