Mbn umecheka dear[emoji16][emoji1787]
Nilicheka hapo kwenye kuingia na kutokea dirishani, sema mkuu inaonekana ulikuwa notorious maana kila Kona walikutimua, kama Tivu (natania) [emoji16][emoji16]Mbn umecheka dear
Nlienda sangu mbeya nlimkuta sugu nko frm 1 yy alikuwa frm 4,form 1 nlihuko nlisoma na jafaray, alikuwa mpole tu
Headmaster sangu alikuwa mwakyulu Rip
Sangu nkafukuzwa
Nkaletwa St Antony enzi za head pale bro masabo, nakumbka skumaliza hata miezi 3 nkatimuliwa hahahaha
Ova
Yule polepole elimu kaipenda tangu zamani.[emoji16][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahAggrey huyu shoga
Ama kwa hakikaYule polepole elimu kaipenda tangu zamani.
Daaah bas hongera zake mnoo.Huyu huyu
Msomi tena IT mzuri tu basi tu
Ah kweli shule Nlikuwa kauzu sanaNilicheka hapo kwenye kuingia na kutokea dirishani, sema mkuu inaonekana ulikuwa notorious maana kila Kona walikutimua, kama Tivu (natania) [emoji16][emoji16]
Sasa mm wkt nasoma Nlikuwa nafanya ukonda pia sasa Hapo lazima ratiba za shuleni zikupiteNilicheka hapo kwenye kuingia na kutokea dirishani, sema mkuu inaonekana ulikuwa notorious maana kila Kona walikutimua, kama Tivu (natania) [emoji16][emoji16]
Duuh!Sasa mm wkt nasoma Nlikuwa nafanya ukonda pia sasa Hapo lazima ratiba za shuleni zikupite
Form 4 nlifanya mtihani kwa mbinde sana
Ova
Mpo Shinyanga au SimiyuNimesoma na bonta na sasa tunafanya kazi mkoa mmoja ...
Kwa uandishi wako huu ilikuwa ni halali Yako kutimuliwa kila shuleMbn umecheka dear
Nlienda sangu mbeya nlimkuta sugu nko frm 1 yy alikuwa frm 4,form 1 nlihuko nlisoma na jafaray, alikuwa mpole tu
Headmaster sangu alikuwa mwakyulu Rip
Sangu nkafukuzwa
Nkaletwa St Antony enzi za head pale bro masabo, nakumbka skumaliza hata miezi 3 nkatimuliwa hahahaha
Ova
Kati ya country boy na babuu nan ni mtu na nan ni mdogo wake?yeah babuu wa kitaa na country boy ni mtu na mdogo ake
Nan aajir chi chi man 😀Daaah bas hongera zake mnoo.
Hope atapata ajira tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23] khaaaah we nae lol.Nan aajir chi chi man [emoji3]