mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Mbn umecheka dear[emoji16][emoji1787]
Nlienda sangu mbeya nlimkuta sugu nko frm 1 yy alikuwa frm 4,form 1 nlihuko nlisoma na jafaray, alikuwa mpole tu
Headmaster sangu alikuwa mwakyulu Rip
Sangu nkafukuzwa
Nkaletwa St Antony enzi za head pale bro masabo, nakumbka skumaliza hata miezi 3 nkatimuliwa hahahaha
Ova