Kama umati unaokuja kukusikiliza ni kwa vitisho na kukandamiza watumishi na wanafunzi, nini faida ya umati huu?

Watumishi
Mtakaoenda mtakuwa mmekosa kazi ya kufanya hata kama rollcall itachukuliwa hakuna hatua zitakazochukuliwa dhidi yenu kwa wale watakaokosa kwenda ni vitisho tu kwamba kutakuwa na rollcall.Nenda ukipenda si kwa kulazimishwa.Start to have free mind kataeni kupelekeshwa kisa tu mmeajiriwa na hizo LGA
 
TUCTA tupo bar sahivi tuna kulal bia
 
Nimezunguka Kona zote za jiji la mwanza na kubaini kuwa huyu bibi hawamkubali kabisa watu wa mwanza.waliohudhuria kwenye mkusanyiko wake ni watumishi na watoto wa shule za misingi Kwa kutishiwa na waajiri wao kufuatwa kazi wasipohitikeza hapa ccm kirumba
 
Wajinga ni mtaji wa wanasiasa...
 
Kuna ushenzi na ushetani mwingi nchi hii. Na kwenye ushetani huo, watumishi wa Serikali ni wahanga wa mwanzo.

Samia alivyoenda Ruvuma, watumishi wote toka vijiji vyote, mkoa mzima walilazimishwa kwenda Songea mjini, wakapelekewa magari, na wale ambao kwa sababu mbalimbali walishindwa kwenda, wameandikiwa barua na wakurugenzi kuwa wajieleze kwa nini wasifukuzwe kazi baada ya kudharau maelekezo ya mwajiri.

CCM imegeuka kuwa chama cha kishetani.

Mungu wetu, tunaomba, utuondolee shetani huyu ili tusiishi chini ya laana yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…