Kama umeajiriwa Halmashauri (Walimu, manesi) gari zako zisizidi 1500cc

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Ikiwa wewe umeajiriwa Serikali za mitaa (Halmashauri) hapa nazungumzia Walimu na Manesi huku wanapitishia mishahara NMB ni bora ukabaki kwenye IST, Premio, Passo, Carina na Corolla. Ukivuka hapo hesabu maumivu au uwe mwizi.

NB: Ligi za Mazda CX5 sijui Land rover discovery 3 au 4 waachie vijana wa TRA, Immigration , PCCB, TANESCO na ofisi ya CAG.
 
Ikiwa wewe umeajiriwa Serikali za mitaa (Halmashauri) hapa nazungumzia Walimu, Manesi na wanapitishia mishahara NMB ni Bora ukabaki kwenye IST, Premio, Passo, Carina na Corolla. Ukivuka hapo hesabu maumivu au uwe mwizi.
Mkuu hujaeleza vizuri kwani gari ya 1500cc na kupitisha mshahara NMb kuna husiano gani?
 
M
Ikiwa wewe umeajiriwa Serikali za mitaa (Halmashauri) hapa nazungumzia Walimu, Manesi na wanapitishia mishahara NMB ni Bora ukabaki kwenye IST, Premio, Passo, Carina na Corolla. Ukivuka hapo hesabu maumivu au uwe mwizi.

NB: Ligi za Mazda CX5 sijui Land rover discovery 3 au 4 waachie vijana wa TRA, Immigration , PCCB, TANESCO na ofisi ya CAG.
Mkuu rate za salary za hao PCCB ni ngapi.. em tujuze kdg
 
Uhusiano upo mkubwa. Kiwango cha mshahara na kiasi unachoweza kukopa kutoka benki pendwa havikuwezeshi wewe kuendesha gari ya zaidi ya 1500cc na bado ukawa na maisha.
Sawa mkuu tuelezee kiwango cha mwisho cha kukopa Nmb kwa mtu mwenye mshahara wa 2.2m gross. Na vip haziwezi kununua gari nziri zaidi ya Ist.
 
Ikiwa wewe umeajiriwa Serikali za mitaa (Halmashauri) hapa nazungumzia Walimu, Manesi na wanapitishia mishahara NMB ni Bora ukabaki kwenye IST, Premio, Passo, Carina na Corolla. Ukivuka hapo hesabu maumivu au uwe mwizi.

NB: Ligi za Mazda CX5 sijui Land rover discovery 3 au 4 waachie vijana wa TRA, Immigration , PCCB, TANESCO na ofisi ya CAG.
Mazda cx5 ni ghali tu kwenye kuinunua, nalp ni sababu ya kodi za tra, ila ni economy kuliko gari nyingi za cc 1500
 
M

Mkuu rate za salary za hao PCCB ni ngapi.. em tujuze kdg
Jamaa hawaishi kwa mshahara Tu. Deals kama zote. Inaweza kupigwa deal moja ukanunua discovery 3 au 4 hata nne kwa mpigo.

Mwaka wa uchaguzi ndio deals zinaongezeka hivyo tarajia 2025 vijana kupiga pesa tofauti na Halmashauri ya Kaliua hukoo
 
Sasa mwalimu ataiba nini

Kuchangisha watoto michango yenye uwongo ndani yake,mfano wanamwambia mtoto achange sh50,000 kwa ajili ya ziara ya bagamoyo,chukulia mfano shule ipo Buguruni mtoto alipaswa kutoa hela ya kukodi gari isizidi sh15,000,chakula soda na maji ya kunywa isizidi 10,000. kwa hesabu hiyo katika sh50,000 nusu nzima inaelea hewani.
 
Jamaa hawaishi kwa mshahara Tu. Deals kama zote. Inaweza kupigwa deal moja ukanunua discovery 3 au 4 hata nne kwa mpigo.

Mwaka wa uchaguzi ndio deals zinaongezeka hivyo tarajia 2025 vijana kupiga pesa tofauti na Halmashauri ya Kaliua hukoo

Kumbe, ingawa hela za hivyo si rahisi kufanya nazo maendeleo maana mwisho wa siku tutakupima kwa kiwango chako cha mshahara na mafanikio yako.. kama hauna kithibitisho cha ulipopata hizo pesa, unalimwa.

Moja ya vitu vya kukuchoresha ni hayo MAGARI ya bei mbaya.
 
BMW au Discovery 4 huendi nayo kazini
 
Ikiwa wewe umeajiriwa Serikali za mitaa (Halmashauri) hapa nazungumzia Walimu na Manesi huku wanapitishia mishahara NMB ni bora ukabaki kwenye IST, Premio, Passo, Carina na Corolla. Ukivuka hapo hesabu maumivu au uwe mwizi.

NB: Ligi za Mazda CX5 sijui Land rover discovery 3 au 4 waachie vijana wa TRA, Immigration , PCCB, TANESCO na ofisi ya CAG.
b7da0e83467b4b04055fd56ffa3c8aef.png

Nakumbuka TICHA WA VETA aliniambia CARINA inadumu na haitumii mafuta mengi. So nataka ninunue CARINA Ti mwakani 😁
 
Back
Top Bottom