Kama umeajiriwa Halmashauri (Walimu, manesi) gari zako zisizidi 1500cc

Thamani ya gari ni pamoja na kodi au mwenzetu unapigaje hesabu? By the way unllishawahi kuimiliki hata bodaboda achilia mbali gari?
Nakazia asiachile mbali bali karibu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Nakumbuka TICHA WA VETA aliniambia CARINA inadumu na haitumii mafuta mengi. So nataka ninunue CARINA Ti mwakani 😁
Gari za waalimu na Maaskari pia madereva Taxi..😆 kama hujafikia hatua ya kumiliki GARI ni kheri utulie kuna Mwenzenu analia huko:_

Ikiwa wewe umeajiriwa Serikali za mitaa (Halmashauri) hapa nazungumzia Walimu na Manesi huku wanapitishia mishahara NMB ni bora ukabaki kwenye IST, Premio, Passo, Carina na Corolla. Ukivuka hapo hesabu maumivu au uwe mwizi.

NB: Ligi za Mazda CX5 sijui Land rover discovery 3 au 4 waachie vijana wa TRA, Immigration , PCCB, TANESCO na ofisi ya CAG.
Point to note!!!!
 
Wapo waalimu wanaendesha hzo discovery 3 mbona ila mishe nyingi mtaan
 
Sawa mkuu tuelezee kiwango cha mwisho cha kukopa Nmb kwa mtu mwenye mshahara wa 2.2m gross. Na vip haziwezi kununua gari nziri zaidi ya Ist.
2.2m ni mshahara wa mfanyakazi wenye cheti cha form four mwenye D mbili hapo ujaweka bonus na allowance nyigine anaye fanya kazi mgodini.
 
Uhusiano upo mkubwa. Kiwango cha mshahara na kiasi unachoweza kukopa kutoka benki pendwa havikuwezeshi wewe kuendesha gari ya zaidi ya 1500cc na bado ukawa na maisha.
Punguza ujuaji mkuu, kuna watu wana salary kubwa sana na zinapitia NMB, mtu anakopa hadi 150M. Watumishi wa kitambo kabisa wa uma ilikuwa lazima salary ipitie huko.
 
Ikiwa wewe umeajiriwa Serikali za mitaa (Halmashauri) hapa nazungumzia Walimu na Manesi huku wanapitishia mishahara NMB ni bora ukabaki kwenye IST, Premio, Passo, Carina na Corolla. Ukivuka hapo hesabu maumivu au uwe mwizi.

NB: Ligi za Mazda CX5 sijui Land rover discovery 3 au 4 waachie vijana wa TRA, Immigration , PCCB, TANESCO na ofisi ya CAG.
Nijuavyo hizo kazi kwao nizakutafutia mtaji tu nasizakutegemea,wamehamia kilimo +ufugaji,semina,kipindi cha uchaguzi ndio kabisa hizo ndio huwapa ulaji nje ya game na wanahela kuliko wewe unaemsubiria mhindi akupe kahela kako,they are very smart and economical,unamkuta anaboda zake,bajaji wengine mpk matrekta wanakodisha zote hela tu ww Endelea kukaa kijiweni daslam unajiita mjanja tembea mkuu
 
Ikiwa wewe umeajiriwa Serikali za mitaa (Halmashauri) hapa nazungumzia Walimu na Manesi huku wanapitishia mishahara NMB ni bora ukabaki kwenye IST, Premio, Passo, Carina na Corolla. Ukivuka hapo hesabu maumivu au uwe mwizi.

NB: Ligi za Mazda CX5 sijui Land rover discovery 3 au 4 waachie vijana wa TRA, Immigration , PCCB, TANESCO na ofisi ya CAG.
Immigration wapo kawaida sana isipokuwa baazi ya vitengo jomba stuka
 
Back
Top Bottom