Kama umeajiriwa Halmashauri (Walimu, manesi) gari zako zisizidi 1500cc

Kama umeajiriwa Halmashauri (Walimu, manesi) gari zako zisizidi 1500cc

Ikiwa wewe umeajiriwa Serikali za mitaa (Halmashauri) hapa nazungumzia Walimu na Manesi huku wanapitishia mishahara NMB ni bora ukabaki kwenye IST, Premio, Passo, Carina na Corolla. Ukivuka hapo hesabu maumivu au uwe mwizi.

NB: Ligi za Mazda CX5 sijui Land rover discovery 3 au 4 waachie vijana wa TRA, Immigration , PCCB, TANESCO na ofisi ya CAG.
Hoja ya Kimaskini sanaa hii ukizani kufanya kazi Halmashauri ndio kuwa na kipato.kidogooo
Hasa manesi na waliku .
Wako kama ulizotaja wanasukuma mandinga ya maana acha kuwaza kimasikini
 
Kuna walimu Wana hela wanafanya biashara zao+kilimo huwafikii kwa chochote
 
Gari za waalimu na Maaskari pia madereva Taxi..😆 kama hujafikia hatua ya kumiliki GARI ni kheri utulie kuna Mwenzenu analia huko:_

f42651ebe01735de97be3c27e0285da6.png

Hao wanaolia walikosea bila ya kufahamu, lakin magari mazuri yapo. Gari kama CARINA Ti ni nzuri, hata MERCEDES BENZ OLD MODEL ni nzuri.

8f132be23fac48b38747d4a4120d44c7.png

Hizi gari ni nzuri kwa mishentown..😁
 
Ikiwa wewe umeajiriwa Serikali za mitaa (Halmashauri) hapa nazungumzia Walimu na Manesi huku wanapitishia mishahara NMB ni bora ukabaki kwenye IST, Premio, Passo, Carina na Corolla. Ukivuka hapo hesabu maumivu au uwe mwizi.

NB: Ligi za Mazda CX5 sijui Land rover discovery 3 au 4 waachie vijana wa TRA, Immigration , PCCB, TANESCO na ofisi ya CAG.
naunga mkono hoja pia jitahidi uwe na backup ya pikipiki ,mimi pikipiki inanisaidia sana kazini kwangu ni kilometer 15 km kwenda na kurudi more than 30km per day ,mafuta ya 15k kwa gari,kwa mwezi mafuta ya laki4,

wakati nategemea mshahara
mara moja kwa mwezi hakuna posho yoyote katikati ya mwezi ni mwisho wa mwezi mpaka mwisho wa mwezi ndio na chukua mshahara 8ook,loan board wakate,mikopo wakate,makato mengine nabaki na laki 6 kwa mwezi.
laki6 kwa mwezi toa laki 4 ya mafuta ya gari kwa mwezi..nabaki na laki 2

nina familia watoto waende shule na bills zote nilipe..Gari natimia kwa ajli ya dharura tu,muda mwingi natumia zaidi boda boda yangu ni rahisi zaidi kumudu gharama zake,kuna wakati

hata upate gari ya bure tu mfano umeshinda bahati na sibu ukapata gari ya bure uchukue bado kumudu gharama ya kulitumia hilo gari running cost ni kubwa.
 
Kwani hao uliowataja TRA PCCB na wengineo hawapitishi mshahara NMB?
Kwa walimu na manesi alisema labda wawe wezi, basi kwa hao TRA PCCB IMMIGRATION TANESCO itakuwa wanapitishia mishahara NMB ila ni wezi
 
2.2m ni mshahara wa mfanyakazi wenye cheti cha form four mwenye D mbili hapo ujaweka bonus na allowance nyigine anaye fanya kazi mgodini.
Ni mfanyakazi gani huyo ambae hana taaluma analipwa 2.2m? Taasis ipi?
 
Back
Top Bottom