na kama mshahara wanapitishia bank tofauti na NMB?Ikiwa wewe umeajiriwa Serikali za mitaa (Halmashauri) hapa nazungumzia Walimu, Manesi na wanapitishia mishahara NMB ni Bora ukabaki kwenye IST, Premio, Passo, Carina na Corolla. Ukivuka hapo hesabu maumivu au uwe mwizi.
Mkuu hujaeleza vizuri kwani gari ya 1500cc na kupitisha mshahara NMb kuna husiano gani?Ikiwa wewe umeajiriwa Serikali za mitaa (Halmashauri) hapa nazungumzia Walimu, Manesi na wanapitishia mishahara NMB ni Bora ukabaki kwenye IST, Premio, Passo, Carina na Corolla. Ukivuka hapo hesabu maumivu au uwe mwizi.
Uhusiano upo mkubwa. Kiwango cha mshahara na kiasi unachoweza kukopa kutoka benki pendwa havikuwezeshi wewe kuendesha gari ya zaidi ya 1500cc na bado ukawa na maisha.Mkuu hujaeleza vizuri kwani gari ya 1500cc na kupitisha mshahara NMb kuna husiano gani?
Mkuu rate za salary za hao PCCB ni ngapi.. em tujuze kdgIkiwa wewe umeajiriwa Serikali za mitaa (Halmashauri) hapa nazungumzia Walimu, Manesi na wanapitishia mishahara NMB ni Bora ukabaki kwenye IST, Premio, Passo, Carina na Corolla. Ukivuka hapo hesabu maumivu au uwe mwizi.
NB: Ligi za Mazda CX5 sijui Land rover discovery 3 au 4 waachie vijana wa TRA, Immigration , PCCB, TANESCO na ofisi ya CAG.
Sawa mkuu tuelezee kiwango cha mwisho cha kukopa Nmb kwa mtu mwenye mshahara wa 2.2m gross. Na vip haziwezi kununua gari nziri zaidi ya Ist.Uhusiano upo mkubwa. Kiwango cha mshahara na kiasi unachoweza kukopa kutoka benki pendwa havikuwezeshi wewe kuendesha gari ya zaidi ya 1500cc na bado ukawa na maisha.
Kwani hao uliowataja TRA PCCB na wengineo hawapitishi mshahara NMB?Uhusiano upo mkubwa. Kiwango cha mshahara na kiasi unachoweza kukopa kutoka benki pendwa havikuwezeshi wewe kuendesha gari ya zaidi ya 1500cc na bado ukawa na maisha.
Mazda cx5 ni ghali tu kwenye kuinunua, nalp ni sababu ya kodi za tra, ila ni economy kuliko gari nyingi za cc 1500Ikiwa wewe umeajiriwa Serikali za mitaa (Halmashauri) hapa nazungumzia Walimu, Manesi na wanapitishia mishahara NMB ni Bora ukabaki kwenye IST, Premio, Passo, Carina na Corolla. Ukivuka hapo hesabu maumivu au uwe mwizi.
NB: Ligi za Mazda CX5 sijui Land rover discovery 3 au 4 waachie vijana wa TRA, Immigration , PCCB, TANESCO na ofisi ya CAG.
Jamaa hawaishi kwa mshahara Tu. Deals kama zote. Inaweza kupigwa deal moja ukanunua discovery 3 au 4 hata nne kwa mpigo.M
Mkuu rate za salary za hao PCCB ni ngapi.. em tujuze kdg
Thamani ya gari ni pamoja na kodi au mwenzetu unapigaje hesabu? By the way ullishawahi kuimiliki hata bodaboda achilia mbali gari?Mazda cx5 ni ghali tu kwenye kuinunua, nalp ni sababu ya kodi za tra, ila ni economy kuliko gari nyingi za cc 1500
Sasa mwalimu ataiba nini
Jamaa hawaishi kwa mshahara Tu. Deals kama zote. Inaweza kupigwa deal moja ukanunua discovery 3 au 4 hata nne kwa mpigo.
Mwaka wa uchaguzi ndio deals zinaongezeka hivyo tarajia 2025 vijana kupiga pesa tofauti na Halmashauri ya Kaliua hukoo
BMW au Discovery 4 huendi nayo kaziniKumbe, ingawa hela za hivyo si rahisi kufanya nazo maendeleo maana mwisho wa siku tutakupima kwa kiwango chako cha mshahara na mafanikio yako.. kama hauna kithibitisho cha ulipopata hizo pesa, unalimwa.
Moja ya vitu vya kukuchoresha ni hayo MAGARI ya bei mbaya.
Ikiwa wewe umeajiriwa Serikali za mitaa (Halmashauri) hapa nazungumzia Walimu na Manesi huku wanapitishia mishahara NMB ni bora ukabaki kwenye IST, Premio, Passo, Carina na Corolla. Ukivuka hapo hesabu maumivu au uwe mwizi.
NB: Ligi za Mazda CX5 sijui Land rover discovery 3 au 4 waachie vijana wa TRA, Immigration , PCCB, TANESCO na ofisi ya CAG.
ππHata halmashauri ya tandahimba?