Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Nakazia asiachile mbali bali karibu.Thamani ya gari ni pamoja na kodi au mwenzetu unapigaje hesabu? By the way unllishawahi kuimiliki hata bodaboda achilia mbali gari?
Gari za waalimu na Maaskari pia madereva Taxi..😆 kama hujafikia hatua ya kumiliki GARI ni kheri utulie kuna Mwenzenu analia huko:_
Nakumbuka TICHA WA VETA aliniambia CARINA inadumu na haitumii mafuta mengi. So nataka ninunue CARINA Ti mwakani 😁
Point to note!!!!Ikiwa wewe umeajiriwa Serikali za mitaa (Halmashauri) hapa nazungumzia Walimu na Manesi huku wanapitishia mishahara NMB ni bora ukabaki kwenye IST, Premio, Passo, Carina na Corolla. Ukivuka hapo hesabu maumivu au uwe mwizi.
NB: Ligi za Mazda CX5 sijui Land rover discovery 3 au 4 waachie vijana wa TRA, Immigration , PCCB, TANESCO na ofisi ya CAG.
Sawa
Nakumbuka TICHA WA VETA aliniambia CARINA inadumu na haitumii mafuta mengi. So nataka ninunue CARINA Ti mwakani 😁
Hivi carina bei ikoje kwa iliyo na hali nzuri?
Nakumbuka TICHA WA VETA aliniambia CARINA inadumu na haitumii mafuta mengi. So nataka ninunue CARINA Ti mwakani [emoji16]
Wapo waalimu wanaendesha hzo discovery 3 mbona ila mishe nyingi mtaanIkiwa wewe umeajiriwa Serikali za mitaa (Halmashauri) hapa nazungumzia Walimu na Manesi huku wanapitishia mishahara NMB ni bora ukabaki kwenye IST, Premio, Passo, Carina na Corolla. Ukivuka hapo hesabu maumivu au uwe mwizi.
NB: Ligi za Mazda CX5 sijui Land rover discovery 3 au 4 waachie vijana wa TRA, Immigration , PCCB, TANESCO na ofisi ya CAG.
2.2m ni mshahara wa mfanyakazi wenye cheti cha form four mwenye D mbili hapo ujaweka bonus na allowance nyigine anaye fanya kazi mgodini.Sawa mkuu tuelezee kiwango cha mwisho cha kukopa Nmb kwa mtu mwenye mshahara wa 2.2m gross. Na vip haziwezi kununua gari nziri zaidi ya Ist.
Punguza ujuaji mkuu, kuna watu wana salary kubwa sana na zinapitia NMB, mtu anakopa hadi 150M. Watumishi wa kitambo kabisa wa uma ilikuwa lazima salary ipitie huko.Uhusiano upo mkubwa. Kiwango cha mshahara na kiasi unachoweza kukopa kutoka benki pendwa havikuwezeshi wewe kuendesha gari ya zaidi ya 1500cc na bado ukawa na maisha.
ChitoholiHata halmashauri ya tandahimba?
Gari ya diesel ingawa umeme mwingiii sanaaaaMazda cx5 ni ghali tu kwenye kuinunua, nalp ni sababu ya kodi za tra, ila ni economy kuliko gari nyingi za cc 1500
Nijuavyo hizo kazi kwao nizakutafutia mtaji tu nasizakutegemea,wamehamia kilimo +ufugaji,semina,kipindi cha uchaguzi ndio kabisa hizo ndio huwapa ulaji nje ya game na wanahela kuliko wewe unaemsubiria mhindi akupe kahela kako,they are very smart and economical,unamkuta anaboda zake,bajaji wengine mpk matrekta wanakodisha zote hela tu ww Endelea kukaa kijiweni daslam unajiita mjanja tembea mkuuIkiwa wewe umeajiriwa Serikali za mitaa (Halmashauri) hapa nazungumzia Walimu na Manesi huku wanapitishia mishahara NMB ni bora ukabaki kwenye IST, Premio, Passo, Carina na Corolla. Ukivuka hapo hesabu maumivu au uwe mwizi.
NB: Ligi za Mazda CX5 sijui Land rover discovery 3 au 4 waachie vijana wa TRA, Immigration , PCCB, TANESCO na ofisi ya CAG.
Immigration wapo kawaida sana isipokuwa baazi ya vitengo jomba stukaIkiwa wewe umeajiriwa Serikali za mitaa (Halmashauri) hapa nazungumzia Walimu na Manesi huku wanapitishia mishahara NMB ni bora ukabaki kwenye IST, Premio, Passo, Carina na Corolla. Ukivuka hapo hesabu maumivu au uwe mwizi.
NB: Ligi za Mazda CX5 sijui Land rover discovery 3 au 4 waachie vijana wa TRA, Immigration , PCCB, TANESCO na ofisi ya CAG.
Immigration wanaokota rushwa kwa wachina kama hawana akili nzuriImmigration wapo kawaida sana isipokuwa baazi ya vitengo jomba stuka