Kama umeajiriwa Halmashauri (Walimu, manesi) gari zako zisizidi 1500cc

Hoja ya Kimaskini sanaa hii ukizani kufanya kazi Halmashauri ndio kuwa na kipato.kidogooo
Hasa manesi na waliku .
Wako kama ulizotaja wanasukuma mandinga ya maana acha kuwaza kimasikini
 
Kuna walimu Wana hela wanafanya biashara zao+kilimo huwafikii kwa chochote
 

Hao wanaolia walikosea bila ya kufahamu, lakin magari mazuri yapo. Gari kama CARINA Ti ni nzuri, hata MERCEDES BENZ OLD MODEL ni nzuri.


Hizi gari ni nzuri kwa mishentown..😁
 
naunga mkono hoja pia jitahidi uwe na backup ya pikipiki ,mimi pikipiki inanisaidia sana kazini kwangu ni kilometer 15 km kwenda na kurudi more than 30km per day ,mafuta ya 15k kwa gari,kwa mwezi mafuta ya laki4,

wakati nategemea mshahara
mara moja kwa mwezi hakuna posho yoyote katikati ya mwezi ni mwisho wa mwezi mpaka mwisho wa mwezi ndio na chukua mshahara 8ook,loan board wakate,mikopo wakate,makato mengine nabaki na laki 6 kwa mwezi.
laki6 kwa mwezi toa laki 4 ya mafuta ya gari kwa mwezi..nabaki na laki 2

nina familia watoto waende shule na bills zote nilipe..Gari natimia kwa ajli ya dharura tu,muda mwingi natumia zaidi boda boda yangu ni rahisi zaidi kumudu gharama zake,kuna wakati

hata upate gari ya bure tu mfano umeshinda bahati na sibu ukapata gari ya bure uchukue bado kumudu gharama ya kulitumia hilo gari running cost ni kubwa.
 
Kwani hao uliowataja TRA PCCB na wengineo hawapitishi mshahara NMB?
Kwa walimu na manesi alisema labda wawe wezi, basi kwa hao TRA PCCB IMMIGRATION TANESCO itakuwa wanapitishia mishahara NMB ila ni wezi
 
2.2m ni mshahara wa mfanyakazi wenye cheti cha form four mwenye D mbili hapo ujaweka bonus na allowance nyigine anaye fanya kazi mgodini.
Ni mfanyakazi gani huyo ambae hana taaluma analipwa 2.2m? Taasis ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…