Kama umeamua kunywea kilevi nyumbani hizi nyimbo ni muhimu kuzipiga

Kama umeamua kunywea kilevi nyumbani hizi nyimbo ni muhimu kuzipiga

Mimi nikinywea nyumbani nakuwa na lengo la kutafuta tu usingizi hivyo ni mwendo wa;

1. Abba- I have a dream
2. Cindy lauper- time after time
3. Judy Boucher- can't be with u tonight
4. Roxette- it must have been love
5. Madonna- the power of goodbye
6. Daniel powter- a bad day
7. Avant- lie about us
8. J holiday- bed
9. Jason derulo- watcha say
10. Gym class heroes- stereo hearts
Jipige kifuani taratibu kisha sema maneno haya "Mimi ni Muhenga" hahahahahaaaa
 
Hiphop oldies za kina Pac, Diddy, Snoop, na wengineo mkuu, new schools unawasikiliza kina Gucci Mane, Migos, J Cole, Kendrick Lamar, Wiz Khalifa, DJ Khelid, J Cole nk

Hizo siyo za mapenzi, ni za kimaisha tu na kupeana mzuka wa kutumia na kutafuta nyingi zaidi.
Hizo Hip hop unasikiliza getho ukiwa unakula "mmea"
 
Mimi nikinywea nyumbani nakuwa na lengo la kutafuta tu usingizi hivyo ni mwendo wa;

1. Abba- I have a dream
2. Cindy lauper- time after time
3. Judy Boucher- can't be with u tonight
4. Roxette- it must have been love
5. Madonna- the power of goodbye
6. Daniel powter- a bad day
7. Avant- lie about us
8. J holiday- bed
9. Jason derulo- watcha say
10. Gym class heroes- stereo hearts
Mkuu umenikuna na hiyo choice yako acha nizitafute
 
Kwanza mi bnafsi skuhiz hata baa au sehem zile kubwa kubwa huwa sipend kwenda,mi napendaga vile vi glosary vya mtaan,utakuta tumeza tuwil tuu hapo,mdada anauza anakuwekea chochote unataka na ukitaka hata mdudu unamtuma..huku kwetu mbez ndo mwendo wetu huu,ni samak samak no club
Kwenye vigrocery mnatafuta Connection.
 
Back
Top Bottom