Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jipige kifuani taratibu kisha sema maneno haya "Mimi ni Muhenga" hahahahahaaaaMimi nikinywea nyumbani nakuwa na lengo la kutafuta tu usingizi hivyo ni mwendo wa;
1. Abba- I have a dream
2. Cindy lauper- time after time
3. Judy Boucher- can't be with u tonight
4. Roxette- it must have been love
5. Madonna- the power of goodbye
6. Daniel powter- a bad day
7. Avant- lie about us
8. J holiday- bed
9. Jason derulo- watcha say
10. Gym class heroes- stereo hearts
Abomangaaa abomangaa😂😂😂Kuna ulle wimbo wa koffi unaimbwa "asomba dugu dugu" [emoji3][emoji3]
Hizo Hip hop unasikiliza getho ukiwa unakula "mmea"Hiphop oldies za kina Pac, Diddy, Snoop, na wengineo mkuu, new schools unawasikiliza kina Gucci Mane, Migos, J Cole, Kendrick Lamar, Wiz Khalifa, DJ Khelid, J Cole nk
Hizo siyo za mapenzi, ni za kimaisha tu na kupeana mzuka wa kutumia na kutafuta nyingi zaidi.
Mkuu umenikuna na hiyo choice yako acha nizitafuteMimi nikinywea nyumbani nakuwa na lengo la kutafuta tu usingizi hivyo ni mwendo wa;
1. Abba- I have a dream
2. Cindy lauper- time after time
3. Judy Boucher- can't be with u tonight
4. Roxette- it must have been love
5. Madonna- the power of goodbye
6. Daniel powter- a bad day
7. Avant- lie about us
8. J holiday- bed
9. Jason derulo- watcha say
10. Gym class heroes- stereo hearts
Huu noma SaaanaKuna ulle wimbo wa koffi unaimbwa "asomba dugu dugu" [emoji3][emoji3]
Huo unaitwa jeun patoHuu noma Saaana
Mkuu kwa nini si kweli?Siyo kweli mkuu.
Mkuu kwa nini si kweli?
Profesa hatupaswi kuuliza maswali maana tunakuwa tunapima uelewa wa mtuSitegemei hili swali kuulizwa na mtu ambaye ni self claimed professor!
Karibu mkuuMkuu umenikuna na hiyo choice yako acha nizitafute
hahahhahaaaaaaa "mimi ni muhenga"Jipige kifuani taratibu kisha sema maneno haya "Mimi ni Muhenga" hahahahahaaaa
Kwenye vigrocery mnatafuta Connection.Kwanza mi bnafsi skuhiz hata baa au sehem zile kubwa kubwa huwa sipend kwenda,mi napendaga vile vi glosary vya mtaan,utakuta tumeza tuwil tuu hapo,mdada anauza anakuwekea chochote unataka na ukitaka hata mdudu unamtuma..huku kwetu mbez ndo mwendo wetu huu,ni samak samak no club