Erick zeph Stanley
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 647
- 72
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ugumu wa kozi ya education ni upi?
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Nuthn difficult... kama una msingi mbovu saaaana wa English language utakutana na mzee wetu Katigula!!! Kuhusu ugumu zaidi ambao ni mahsusi nadhani itategemeana na masomo ya kufundisha utakayochagua!!!! Karibu sana katika Jiji la Mungu tunalolijenga!!!! Ukiweza ni PM ntakupokea mheshimiwa!!!!
Asante mkuu, history na language mziki wake uko vipi?
Babu Katigula nasikia ataendelea na mwaka wa pili sie tunaoingia tutakua na mwingine
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
kuna wale wanaojua tiyari selection zao sijui walifanyaje mpaka wakajua? kwa ambao hamjafaham msiwaze next monday kila kitu kitakuwa out according to tcu...
In short Mwanza ni kuzuri sana kuna "ujana" wa kila garama ila ukijisahau tuu ukauendekeza umeisha, SAUT sio chuo lelemama kabisaa...
m ni mmojawao zlipoleak tu wa2 2kafungua link ambazo zilkuwa online 2kaangalia baada ya robo xaa wakaxtuka wakazfunga ndo mpaka xaxa kmyaa!ila kwa j3 mambo mswano.