elvee
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 1,110
- 1,625
[emoji120]Leo umechemka sana mtoa mada sikuzote umekuwa mtu makini lakini leo umeleta utumbo......
Mungu ni wa kuabudiwa tu kwa hali yeyote ile ya maisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji120]Leo umechemka sana mtoa mada sikuzote umekuwa mtu makini lakini leo umeleta utumbo......
Mungu ni wa kuabudiwa tu kwa hali yeyote ile ya maisha
Haya mawazo ya kimaskini.....
AhahahhaahahahahahKwahiyo sisi tunaolala stoo hatutakiwi hata kumtaja Mungu[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Mama unanicheka? Hapa niko njia panda maana tunaambiwa tushukuru kwa kila jambo kumbe sio[emoji134][emoji134]Ahahahhaahahahahah
Hahahahahahaha hapa nimeangalia ndani kwangu nimechekaaaa yaani jiko naliona hapa...vyombo...kabati la nguo yaani vyakula mweeeehMama unanicheka? Hapa niko njia panda maana tunaambiwa tushukuru kwa kila jambo kumbe sio[emoji134][emoji134]
Hongera tusaidianeVERY nice mi nimefikia 75% nazani ya hapo japo napenda garden sana na pesa nyingi nimeelekeza huko
Kalibu mkuu ila ni mapambano tu mi nimefanyakazi miaka kumi mpaka kufikia hapoHongera tusaidiane
Yaani nikiamka mali zangu zooote naziona, jiko langu la mkaa,ndoo ya kuogea na kopo lake,mkaa,begi la nguo,viatu na vyombo.Hahahahahahaha hapa nimeangalia ndani kwangu nimechekaaaa yaani jiko naliona hapa...vyombo...kabati la nguo yaani vyakula mweeeeh
Sisi tushukuru tu kwa kidogo tulichonacho mpenzi kikubwa majaaliwa yake MunguYaani nikiamka mali zangu zooote naziona, jiko langu la mkaa,ndoo ya kuogea na kopo lake,mkaa,begi la nguo,viatu na vyombo.
Sasa sijui natakiwa nimshukuru nani[emoji134][emoji134][emoji134]
Amen.Sisi tushukuru tu kwa kidogo tulichonacho mpenzi kikubwa majaaliwa yake Mungu
Ni kweli mkuu, maskini huwa wana vijimaneno vingi vya kujipa faja. Eti mshukuru Mungu kwa uhai? Kwani funza, jongoo, nguchiro na mende hawana uhai? Mbona hawaendi nyumba za ibada kumshukuru Mungu?Haya mawazo ya kimaskini.....
Ukweli ni kwamba athari za umaskini zinachoma mithiri ya Moto wa jehanamu
Kabisa kakaNi kweli mkuu, maskini huwa wana vijimaneno vingi vya kujipa faja. Eti mshukuru Mungu kwa uhai? Kwani funza, jongoo, nguchiro na mende hawana uhai? Mbona hawaendi nyumba za ibada kumshukuru Mungu?
Pitia pale lumumba kuna form utapewa ujaze zile za kaya masikini, ukienda usisahau kupitia pale jangwani imshitue mzee AkiliwealthTuna komenti wapi sisi wa upande wa huku...!!??[emoji53][emoji53]View attachment 1074074
Pumzi hata panya anayo, minyoo ina pumzi pia. Acheni kujipa faraja.
Wewe mshukuru aliyejenga stoo ya mkaa. Mungu muache kwanzaKwahiyo sisi tunaolala stoo hatutakiwi hata kumtaja Mungu[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Usimshukuru yeyoteSijafikia huko.
Nimshukuru nani?
Hayo ni maneno tu na yatabakia kuwa maneno tu. Yaani upigwe kansa ya utumbo halafu eti useme utaweza kuinua kinywa chako umuambie Mungu asante? Acheni maneno hayo yaishie kusomwa tu kwenye misahafu.Umefail sky eclat:....we need to say thanks for good and bad,good gives us happines bad gives us experience.
Sent using Jamii Forums mobile app