Kama umefikia stage hii ya maisha, mshukuru Mungu

Kama umefikia stage hii ya maisha, mshukuru Mungu

Hahahahahahaha hapa nimeangalia ndani kwangu nimechekaaaa yaani jiko naliona hapa...vyombo...kabati la nguo yaani vyakula mweeeeh
Yaani nikiamka mali zangu zooote naziona, jiko langu la mkaa,ndoo ya kuogea na kopo lake,mkaa,begi la nguo,viatu na vyombo.
Sasa sijui natakiwa nimshukuru nani[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Yaani nikiamka mali zangu zooote naziona, jiko langu la mkaa,ndoo ya kuogea na kopo lake,mkaa,begi la nguo,viatu na vyombo.
Sasa sijui natakiwa nimshukuru nani[emoji134][emoji134][emoji134]
Sisi tushukuru tu kwa kidogo tulichonacho mpenzi kikubwa majaaliwa yake Mungu
 
Haya mawazo ya kimaskini.....
Ukweli ni kwamba athari za umaskini zinachoma mithiri ya Moto wa jehanamu
Ni kweli mkuu, maskini huwa wana vijimaneno vingi vya kujipa faja. Eti mshukuru Mungu kwa uhai? Kwani funza, jongoo, nguchiro na mende hawana uhai? Mbona hawaendi nyumba za ibada kumshukuru Mungu?
 
Ni kweli mkuu, maskini huwa wana vijimaneno vingi vya kujipa faja. Eti mshukuru Mungu kwa uhai? Kwani funza, jongoo, nguchiro na mende hawana uhai? Mbona hawaendi nyumba za ibada kumshukuru Mungu?
Kabisa kaka
Kuna watu wanaamka hawajui watakula nini na wanafamilia zinawategemea, wengine wanaumwa hawana hata pesa ya kununulia Panadol wanakufa,

Kuna watu hawana uwezo ya kupata mia500 kwa, halafu unasema ashukuru kwa uhai, seriously?
 
Umefail sky eclat:....we need to say thanks for good and bad,good gives us happines bad gives us experience.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni maneno tu na yatabakia kuwa maneno tu. Yaani upigwe kansa ya utumbo halafu eti useme utaweza kuinua kinywa chako umuambie Mungu asante? Acheni maneno hayo yaishie kusomwa tu kwenye misahafu.
 
Back
Top Bottom