matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
- #41
Tatizo la afya ya akili linaanza kwa kumkataa Mungu na uwepo wake. Matokeo ya kumkataa Mungu kwa makusudi (Maana Huwa anajitambulisha mwenyewe moyoni mwa kila mtu) ni kujipiga ganzi, kujitoa fahamu na hata yakikupata unaya rationalize ili ionekane ni jambo la kawaida.Sijui kusoma, hizo ni blabla tu hazina uthibitisho wowote zaidi ya mawazo hafifu mda mwingine tatizo la afya ya akili linaweza kuchangia hallucinations na illusion, na mtu akasimulia mkaona ni hivyo mnavyoita mapepo au ushetani.
Warumi 1:19
Kwa kuwa mambo ya Mungu yanayojulikana yamekuwa dhahiri ndani yao, kwa maana Mungu aliwadhihirishia.
Warumi 1:21
kwa sababu, walipomjua Mungu hawakumtukuza kama ndiye Mungu wala kumshukuru; bali walipotea katika uzushi wao, na mioyo yao yenye ujinga ikatiwa giza.
Wewe ni mtu mzuri tu, sina shida na wewe siku ukichagua kuelewa, usisahau kuwahimalisha na wengine.