Kama umejipata ni Bora Kununua kiwanja kuliko kununua gari la pili au la tatu.

Kama umejipata ni Bora Kununua kiwanja kuliko kununua gari la pili au la tatu.

Dalali wa Mjini

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2024
Posts
1,119
Reaction score
1,618
Habari wakuu.

Mkuu uliyejipata ni Bora ununue hiki kiwanja ili badae uuze Bei ya juu kuliko Kununua Gari lingine alafu badae uje uuze Bei ya kutuma.

Gari kila baada ya Muda linashuka Bei na likipata ajali ndio kabisa.

Lakini kiwanja kila baada ya Muda kinapanda Bei.

Hivyo basi nakupa hiki kiwanja Kwa sh milion 50 Tu.

Sqm 721 kipo Mbezi Luguruni mkabala na morogoro road.Hati ya wizara ipo.

Nipigie simu 0754693556
Kuona hili eneo ni bureee kabisa.
 
Back
Top Bottom