Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,119
- 1,618
We umenunua
Nasubiri jibu hapaWe umenunua vingapi?
Bado sjajipataWe umenunua vingapi?
Ukiwa Sawa kukiona Nakukutanisha na mwenye kiwanjahiki alikiweka 350,000/= kwa sm² au block amount 90m na kimeshuka mpaka 50m na kitashuka mpaka kwenye bei yake halisi.
Bado sjajipata mkuu Ila ardhi ni muhimu ukiwa umejipataWewe hutaki kuuza baadae kwa kubwa??
Au unauza ili na wewe ukanunue gari??
😅😅😅😅Mazda CX 5Wewe hutaki kuuza baadae kwa kubwa??
Au unauza ili na wewe ukanunue gari??
Anauza ili akanunue gariWewe hutaki kuuza baadae kwa kubwa??
Au unauza ili na wewe ukanunue gari??