NyegereBOY
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 225
- 328
- Thread starter
-
- #181
Sipingi mtazamo wako kila mmoja anamaamuzi yake wewe uko vodacom wengine wako tigo na wengine watapendelea AIRTEL 🙏🙏Sawa mkuu kwanza mimi now nipo vodacom supakasi napata raha skuiz kupimiwa bando ni ushamba
Skuizi tunatumia unlimited atutumii limited tenaSipingi mtazamo wako kila mmoja anamaamuzi yake wewe uko vodacom wengine wako tigo na wengine watapendelea AIRTEL 🙏🙏
Boss utaratibu wenu kwa sasa ukoje ili nijiunge na hii huduma.?Sipingi mtazamo wako kila mmoja anamaamuzi yake wewe uko vodacom wengine wako tigo na wengine watapendelea AIRTEL 🙏🙏
Inapaswa muwe watatu na kila mmoja awe na kianzio cha kifurushi anachokitaka ila mmoja kati yenu tutachukua taarifa zake kwa niaba yenuBoss utaratibu wenu kwa sasa ukoje ili nijiunge na hii huduma.?
Sina members wengine ila binafsi ninahitaji hiyo huduma na vitu vyote vinavyohitajika ninavyoInapaswa muwe watatu na kila mmoja awe na kianzio cha kifurushi anachokitaka ila mmoja kati yenu tutachukua taarifa zake kwa niaba yenu
Ambazo ni
● TIN namba
● Kitambulisho moja wapo kati ya kura leseni au nida
Kisha tutawapa huduma ikitokea huna members sisi tutakutafutia na utapata huduma kama kawaida
Nipe muongozo wa hii ya airtel mkuu.Hawa wahuni sana usipo lipia mwezi unaofata wanafunga laini au wanakuwekea bili bora sme ya airtel ni nzuri sana hata usipolipia hawakuwekei bili na hawafungi laini tigo ni wahuni sana
Nenda duka la airtel na tin number na leseni ya biashara wata kuunga ila kuna watu wanaunga watu humu wacheki watakupa muongozo ila ni kwa 10 k ila kama unataka dukani ni freeNipe muongozo wa hii ya airtel mkuu.
Nahitaji kujiunga na SME ya Airtel
Naipataje hii hudumaHawa wahuni sana usipo lipia mwezi unaofata wanafunga laini au wanakuwekea bili bora sme ya airtel ni nzuri sana hata usipolipia hawakuwekei bili na hawafungi laini tigo ni wahuni sana
Nimesha eleza hapo juuNaipataje hii huduma
Hakuna unlimited all features hiyo lugha ya biashara tu.Jiunge kasi ya voda unlimited kwa mwezi 50,000.
Hivi ni SME au eSIM?Nipe muongozo wa hii ya airtel mkuu.
Nahitaji kujiunga na SME ya Airtel
Masharti yamebadika na sasa yakoje?wakuu huduma insendelea japo mashart yamebadilishwa kidogo hii isikufanye ukakosa huduma uliza chochote nipo kukujibu
Mkuu inawezekana kupata huduma 0710020066 tuwasilianeSina members wengine ila binafsi ninahitaji hiyo huduma na vitu vyote vinavyohitajika ninavyo
SME ni tofauti na eSIMHivi ni SME au eSIM?
Mkuu naomba nichek kwa namba hii 0710020066Sina members wengine ila binafsi ninahitaji hiyo huduma na vitu vyote vinavyohitajika ninavyo
Exactly. Hata mimi najua hivyo mkuu.SME ni tofauti na eSIM
SME ( small and Midsize Enterprises)
eSIM ( embedded SIM CARD )
Nitakutafuta nduguMkuu inawezekana kupata huduma 0710020066 tuwasiliane
Lipia kidogo kidogo mkuuTigo wananidai 80k yao ya miezi miwili wataniua