Kama umekuwa ukitumia gharama kubwa kwenye vifurushi pitia hapa Kuna solution kwaajili yako ( GB 1 kwa buku tu)

Boss utaratibu wenu kwa sasa ukoje ili nijiunge na hii huduma.?
Inapaswa muwe watatu na kila mmoja awe na kianzio cha kifurushi anachokitaka ila mmoja kati yenu tutachukua taarifa zake kwa niaba yenu
Ambazo ni
â—Ź TIN namba
â—Ź Kitambulisho moja wapo kati ya kura leseni au nida
Kisha tutawapa huduma ikitokea huna members sisi tutakutafutia na utapata huduma kama kawaida
 
Sina members wengine ila binafsi ninahitaji hiyo huduma na vitu vyote vinavyohitajika ninavyo
 
Hawa wahuni sana usipo lipia mwezi unaofata wanafunga laini au wanakuwekea bili bora sme ya airtel ni nzuri sana hata usipolipia hawakuwekei bili na hawafungi laini tigo ni wahuni sana
Nipe muongozo wa hii ya airtel mkuu.
Nahitaji kujiunga na SME ya Airtel
 
Back
Top Bottom